N'zonzi aliomba baadhi ya wachezaji wa Ufaransa ili Kante apige picha na kombe

Mzigo anaopiga ni wa kulipwa hiyo hela!?.. Au kwako cheap labour ni nini!?..
Cheap labour is working hard for little money under very harsh conditions!
Chelsea have state of the art facilities!! 110,000£ sio pesa ya ndogo, labda wataka kumlinganisha na kina rooney na Kane wenye nchi. Wachezaji foreigners wengi hawalipwi kama waingereza.
 
sawa
 
Alichemka kwa modric
 
Unamdiss mtu ambae ndani ya miaka mi5 ameshinda awards 5 Duniani! Wewe miguu yote ya kushoto hata UMISSETA hujawai gusa acha VPL!
 
Unamdiss mtu ambae ndani ya miaka mi5 ameshinda awards 5 Duniani! Wewe miguu yote ya kushoto hata UMISSETA hujawai gusa acha VPL!
Moja ya sifa ya wabongo.
Ilidhihirika pale jiwe aliposema ai wishi ai kuludi bi aijipi
 
Unajua Sanchez na Pogba wanalipwa ngapi? Zlatan Je alikuwa analipwa ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…