Swali zuri...
Hakijapimwa na CDA ila kinaitwa shamba (kwa sasa). Kina hati miliki ya shamba inayotolewa na Mwenyekiti wa Serikali ya Kitongoji cha Nyerere Nzuguni kny ya CDA.
Siku za mbeleni wakija kupima CDA watakupatia hati na kuwa kiwanja kilichopimwa.