O-Ten anauza chips Mwenge!

O-Ten anauza chips Mwenge!

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Akichezesha taya na mwananchi wa kawaida(castro dickson) wa claus tv,oten aliweka wazi biashara inayomuweka mjini kwa sasa tofauti na muziki.

Nawasilisha.
 
bora huyo kuliko mtoto wa kiume anayetegemea pesa ya boom kuuza sura na akinyimwa anaandamana na kugoma
Wanajijua

Bora huyo kuliko mtoto wa kiume anayauza sura kwa mali za shemeji yake yaani dada yake anashurubishwa yeye anaenjoy then anajiita mtoto wa kiume wanajijua

nawasilisha
 
Sasa wewe kinachokushangaza nini unawezakuta anapata maslahi zaid ya bongo fleva acha dharau kazi za watu izo
 
Kweli kabisa mkuu C.T.U
 
Sasa wewe kinachokushangaza nini unawezakuta anapata maslahi zaid ya bongo fleva acha dharau kazi za watu izo

Mkuu sijaonyesha kitu chochote cha dharau bali ni info tu kwa baadhi ya mashabiki wake kujua yupo wapi kwa sasa coz hasikiki kwa mahewa! Biashara ya chips inalipa sana ukikamata sehemu yenye biz nzuri.
 
hafu chips za kibanda chake tamu kinomi, si pale karibu na mpemba muuza chps eeee
 
Aidha wewe mwenyewe ni O ten na umeileta hii kwa kutaft umaarufu wako uliokwisha umeingia chaka hapa ni jf!
 
Kazi ni kazi ili mradi mkono unaenda kinywani, (kazi yako nzuri mimi hainisaidiii)
 
Inaonekana kwake sio tatizo ndio maana hajaficha, kaamua kuweka wazi.
After all biashara kama inalipa kwanini aisiifanye?
 
Kafulia huyo..c walikuaga wanajiita watoto wa upanga enzi hzo,imeishia wap?
 
Kazi ni popote wakuu . Mtoto wa kiume ni kujituma .
 
o-ten namsifu kwa kusoma alama za nyakati,music industry sasa hivi imekaa kizushi,bora yeye alieamua kuhamia kwny kuuza kiepe,ila namshauri atengeze mazagazaga adimu ili awashinde hao wapemba,wife wangu hunileteaga chips za wapemba hapo mwenge,ni tam balaa.
 
Kazi ni kazi ili mradi mkono unaenda kinywani, (kazi yako nzuri mimi hainisaidiii)

Hapo umenena. Cha msingi ni kwamba anafanya kilicho halali kufanya maisha yaende. Nukta.
 
Bora amechagua njia ilio bora,kuuza sura kuna umri ila kuuza chips hakuna umri hata akizeeka ataweza endelea na biashara yake!mungu na amjalie mafanikio kwa juhudi zake!
 
o-ten namsifu kwa kusoma alama za nyakati,music industry sasa hivi imekaa kizushi,bora yeye alieamua kuhamia kwny kuuza kiepe,ila namshauri atengeze mazagazaga adimu ili awashinde hao wapemba,wife wangu hunileteaga chips za wapemba hapo mwenge,ni tam balaa.

Don hizo chipsi za Wapemba wa Mwenge zipo sehemu gani? Maana wife anapenda sana chpsi zenye madiko diko ya kufa mu. Utakuwa umeniokoa sana. Nipe eneo nikawatembelee.
 
Back
Top Bottom