Sijaelewa neno kujimix apa lina maana gani naomba msaada wa kunieleweshaUkitaka kujimix owa mkerewe au mjita heheheeee!!! Hiyo nimeipenda maana nimeshuhudia live
Sasa kuji-mix huko kwa Wakerewe au Wajita ndo inakuwaje?Ukitaka kujimix owa mkerewe au mjita heheheeee!!! Hiyo nimeipenda maana nimeshuhudia live
Ukitaka kujichanganya owa mkerewe au mgitaSijaelewa neno kujimix apa lina maana gani naomba msaada wa kunielewesha
Wajita kwani wana tatizo gani?Ukitaka kujichanganya owa mkerewe au mgita
Mleta mada,eleza vizuri kwa Wakerewe na Wajita.Wanashida ganiUkitaka kuji-mix, oa MKEREWE au MJITA
Mh! Una maana kupigwa makofi au maana inawezekana umetumia fasihi.wanapenda kupigwa