kavulata JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 13,778 Reaction score 14,214 Nov 28, 2022 #1 Harakati zetu kwa nchi za kiarabu sasa hivi ziko wazi zaidi kuliko pale zamani, hii ni kusema sasa tumejiunga OAC kimyakimya? Tunahitaji fedha, Nadhani huu ndio wakati wa kujiunga rasmi na OAC ili Tanzania inufaike na uanachama wake kwa uwazi zaidi.
Harakati zetu kwa nchi za kiarabu sasa hivi ziko wazi zaidi kuliko pale zamani, hii ni kusema sasa tumejiunga OAC kimyakimya? Tunahitaji fedha, Nadhani huu ndio wakati wa kujiunga rasmi na OAC ili Tanzania inufaike na uanachama wake kwa uwazi zaidi.