Oats kwa Kiswahili zinaitwaje

Oats kwa Kiswahili zinaitwaje

Mrembomimi

Member
Joined
Sep 2, 2016
Posts
47
Reaction score
35
Oats zinaitwaje kwa Kiswahili? Na wapi zinapatikana kwa bei rahisi, zisizo kwenye makopo.
 
Mimi naomba niongezee kwako. Kama kuna mtu anaweza kuniambia wapi zinapatikana shayiri aniambie tafadhali sana.
 
Nilikua natamani nikutane na uzi wa hivi..

Ahsante beberu
 
Back
Top Bottom