Obama afananishwa na sokwe

Hakuna jipya hapo, na wala siyo kwa sababu ni black. Hata G. W. Bush alikuwa anafananishwa sana na chimps. Angalia hapa:
 
kufanaanishwa na sokwe si tatizo,yawezekana kwa mazuri au mabaya!???,sokwe anajulikana kwa tabia fulani nzuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…