Obama afurahia weekend kitaa

Photo-shoped!!! Ila nafikiri baada ya ile Health care plan kupita basi anastahili vakesheni kabisa. Aman of history, a man of change.
 
Huyo jamaa naona anatafuta kilio kabla ya siku zake...
 
Naona rais wa dunia alikuwa anacheza wimbo wa juma nature...
Mugambo wanaruka na kukanyagana,
ona wamesimama ,
wanaruka kinyama.
 
Kama wamefanya kazi kwenye health care services basi kitu kizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…