Obama amekosa nini jamani?

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Posts
5,487
Reaction score
83


Kwanini jamii haina heshima kwa viongozi?

Source: Facebook
 
mi hata hainijsumbui.all in all naona kuwa ni mzazi anayejali mwanae na kufanya efort ya kumlea mwenyewe bila kuhusisha ma-baby sitters kama wanavyofanya wenzetu au kupeleka watoto katika vituo vya kulelea watoto..........
 
Nothing surprises me - it is a reflection of a loving poor African parent - like many millions across the continent and beyond. The only hitch is that he may have missed that love from his own father, but otherwise it is all fine...
 
so what is the earth with that pic?.....mbona kawaida tu.
 
Wanampenda sio kwa sababu ya uafrika wake hizo ndio Dalili za mapenzi wasimuuwe tu hichi kitu hatutaki na Mwenyeezi Mungu atamlinda
 
hawa jamaa noma,uafrika wake ndo tatizo

Hizi ni jitihada za wale walioshindwa kumzuia kuwa rais kumshushia heshima na utu wake. Hii siyo kitu. Rais Jimmy Carter naye alichorwa na kukejeliwa sana. Lakini mimi nafikiri Jimmy Carter ni mmoja wa marais wa Marekani aliyekuwa na utu na bado anao mpaka leo. Wabaguzi wa kabatini (closet) ni wa kupuuzwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…