Obama anaboa na matumizi ya teleprompter ktk karibu kila hotuba


Unatakiwa kuwa na uhakika na unachoongea, kwanini kuporomoka kwa uchumi duniani sio kitu cha ajabu na hakijaanza leo, hata wangeshinda republican moja ya mambo ambayo wangefanya ni kurekebisha uchumi. Uchumi wa dunia haurekebishwi kwa siku moja hivyo muda uliokuwepo ulikuwa simuafaka kwa bushi kuanzisha Plan yake ambayo ingeweza isikubalike na Rais anaekuja hivyo akawa kapoteza pesa zaidi. Maoni yangu Bushi alifanya vizuri kuacha kuweka mpango wa kurekebisha uchumi ili kumpa fursa nzuri Raisi alieko madarakani kwani anamuda mzuri wa kuweka sera zake bila pingamizi.
 

Mkuu Bongolander.....Calling President Obama a **** is very insulting. Maybe you don't know how that so called name is disrespectful in the Black American world. So ...please give him the respect he deserves ......call him Black, or African American or Negro....but not a ****...after all he is the most powerful man in the world right now and he has African roots which reflect to us ....including yourself.
 
Last edited by a moderator:

Following most of your responses in here....You seem to be very jealous of any Intelligent Black person... don't "Jindal" yourself....
 
 
0bsession yako na Obama imefikia point unaboa sasa.......tafuta kitu cha maana cha kufanya na muda wako badala ya kuletea upuuzi wa Obama hivi, Obama vile kila siku! Tumechoa! Ggggggrrrr!

Rudini kazini wewe.....
 
Nyaniii! Kumbe umehamia huku baada ya kushindwa kumtetea Jindal, eh? Nyie GOP mnachekesha, sasa Obama kutumia teleprompter inaathiri vipi uchumi wa nchi? Je itaongeza au kupunguza ajira nchini Marekani? GOP, mnajaribu ku-divert attention kwamba your party is in disarray and you have leadership issues, that your congresspeople came up short in the stimulus package and you lost face and popularity while Obama remains strongly popular. Mnajaribu kumbomoa eti badala ya kujitahidi ili GOP succeeds you are hoping that he (Obama) fails (kama Rush alivyokiri mara nyingi).
Mnahitaji to re-evaluate yourselves!
 
Nyaniii! Kumbe umehamia huku baada ya kushindwa kumtetea Jindal, eh?

Haikuwa kazi yangu kumtetea mdosi Jindal

Nyie GOP mnachekesha, sasa Obama kutumia teleprompter inaathiri vipi uchumi wa nchi? Je itaongeza au kupunguza ajira nchini Marekani?

Haiathiri kitu ila inaonyesha ti jinsi jamaa alivyokuwa hyped kumbe hana lolote. Ooo eti tunaambiwa he is the greatest orator of our time. Come on now...

Mnajaribu kumbomoa eti badala ya kujitahidi ili GOP succeeds you are hoping that he (Obama) fails (kama Rush alivyokiri mara nyingi).
Mnahitaji to re-evaluate yourselves!

Sidhani kama Democraps walikuwa wakimtaka Bush afanikiwe. Kwa masikio yangu mwenyewe nimeshawasikia baadhi ya wati wakimshukuru Bush kwa kuharibu na kutoa mwanya kwa O-Bummer kuwa raisi. So what's new?
 


Nakubaliana na wewe kuwa Bush alifanya vizuri kumwachia successor kazi ya kushughulikia uchumi, kwa kuwa hakuwa na muda wa kutosha kutekeleza mipango yake. Lakini tofauti ni kuwa Bush alipokuwa madarakani hakujali signs zote za kuporomoka kwa uchumi aliconcetrate kwenye vita na kutumia mabilioni ambayo yangaesaidia kuwa stimulus nyumbani. Alikuwa anajidai kuwa hajali opinion polls wala concernza watu kuhusu uchumi, ila anajali kufanya kilicho sahihi. Ni kweli uchumi haurekebishwi kwa siku moja, lakini unaweza kuharibiwa na mtu mmoja na kwa siku moja. Kwa hiyo nakuelewa mkuu.
 

You are damn right Mkuu. I used this derogatory word purposely to please some of us who are also being identified by the same name, who praise those with Klans mentality and who adore Klans attitudes towards us. I honestly admire the guy, but not because he has African roots or not because i share skin colour with him, because he has brought hope and so far he seem to be taking the US to its rightful place. Ajabu kuna watu tena watanzania,waafrika, weusi, wanajisikia vibaya sana kuona Obama rais na wanaomba kila siku auwawe. Kweli kuisifu mvua noma.
 
Following most of your responses in here....You seem to be very jealous of any Intelligent Black person... don't "Jindal" yourself....

Give me an example of an intelligent Black person that I am jealous of.
 

If that place is a socialist third world country then you are right. Try to read the article below


Source:
Michael Boskin Says Barack Obama Is Moving Us Toward a European-Style Social Welfare State and Long-Run Economic Stagnation - WSJ.com
 
If that place is a socialist third world country then you are right.

Mkuu i do not agree with the article. European welfarenism is not third world socialism. Irresponsibilities in borrowing and spending have destabilized the market economy, things have to be cleared before they go back to market economy where responsible borrowing, lending, morgaging and spending will come back.
 
Sasa hili linaingiaje Kwa Muungwana? Suala Limetokana na teleprompter Tunachokitafuta ni kipimo cha IQ intelligence Ya Mhusika Kumbukeni katika kikao cha baraza la Usalama la Umoja Wa mataifa mwaka 1996 Rais mstaafu Wa Ghana Jerry Rewlings alichapia Kinoma Noma Pamoja na kutumia teleprompter Mpaka akakiri English sio Lugha Muufaka kwa Waafrika
 
Mtalalamika weeeeeeeeeeee and at the end of a day he is still the president.

 
Tuwasifu wazungu, sisi weusi ni wajinga. Ni black gni ambaye intelligent unayeweza kujivunia? Lazima tumtukuze George Bush, Ronald Reagan, Thatcher, Botha, lazima tuwapuuze kina Colin Powell, Koffi anan, Obama, Condi kwa sababu wao ni kizazi cha watu duni.
 

European welfare society is unsustainable in a nation as large as America. 300 million people not counting the illegal alliens. You are comparing apples and oranges.
 
Barack Hussein Obama.

Obantu may be more intelligent than an average Bantu but to me he is nothing special. In fact I have come across many Bantus that are far more intelligent than Obantu. I was never jealous of them nor am I jealous of Obantu. I am however, critical of his policies, his ideology, his vision, his radicalism and just about everything he stands for.
 
European welfare society is unsustainable in a nation as large as America. 300 million people not counting the illegal alliens. You are comparing apples and oranges.

The volume of US economy is larger that that is EU combined, they US has all what it takes to sustain social welfare if it is carefully executed. Germany, the largest economy in EU which has more immigrants that US can sustain it and even make profit out of it. By the way there are already some welfare system in place already. If you look at most bastards in US (born out of wedlock) you will see that they also product of the system which allows for a family of 4 to hav some benefits.
Let us face it Barack is hated because he is black, not because of what he is doing. Those who think he is smart have chosen him, and those who think he is a coon throw everything at him, let us give him a break. I ould be very happy if we engage in this kind of debate, debatin our president.
I think George Bush was the worst US presedent i have ever know, not Obama, at least for the moment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…