Obama anakuja?

Leo hata haieleweki habari ipi ina ukweli ..hebu nipumzike nitarudi baadae
 
Leo hamtampata mtu, posting zote uwongo!
 
gt ulipotea sana.........!halafu hivi...au BASI😀
 
Ulipotea sana mkubwa karibu. Pengine mwaka 2012!
 
Obama atakuja mwaka huu kumtembelea mainly Rais Kikwete. Sijui kwa nini wewe uwe na wasi wasi.[wewe labda utapata chandarua]
 
kha watatuharibia tu ratiba zetu kwa kufunga mabarabara n.k!
 
atakuja tu,hii nchi ina opportunities nyingi kwa wawekezaji kama wamarekani!!🙂
 
Atakuja November ili awe Rais wa kwanza kutoka bara la Amerika kumsalimia Rais mpya wa JMT kutoka CCJ baada ya uchaguzi wa October. Hata yeye anapenda ujiko kama .........
 
CCM watakuwa wamekunja ngudo aje kabla ya uchaguzi...wanaitaji kura za wale "asilimia 70".
 
wakuu fungeni hizi sredi sasa, muda wake umekwisha!
 
nae akija tutampa nini? atakaa muda gani? Bush alikuja akakaa wiki, tukampa Kigamboni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…