Obama awarded 2009 Nobel Peace Prize

hata kwao ''ujaluoni'' hataki kwenda

Sasa hii ina uhusiano gani na Prize?. It sounds like Rush Limbaugh, Beck, Hannity listener. Jamaa leo wataongea mpaka povu liwatoke midomoni. Last week aliposhindwa Olympic bid mlifurahia leo lazima mnune sana.

Jamaa anafanya kazi sana. Kuhusu suala la Amani fuatilia record yake tokea alipokuwa Senator, ndiyo utajua anastahili hii Peace Prize au la.
 
A surprised winner of Noble Prize for peace... the brother is very lucky and more


Source http://www.thaindian.com/newsportal/world-news/obama-wins-nobel-peace-prize-for-2009_100258276.html
 
Way to go Barry!!!!!!Keep up the good work
 
There is only one reason for Obama to get Nobel Prize the same reason Mandela got it instead of Nyerere. he is holding the highest position in his country and he does not hold grudge against the people who called him a slave. Same thing to Mandela !

If this is so means, Nyerere alikuwa ana-hold a grudge. Kama ni hivyo kwanini atangazwe mtakatifu? Coz nijuavyo mimi na tulivyofundishwa kidini watakatifu ni wale ambao hawakutenda dhambi yaani waliishi kwa kufuata yale yampendezayo Mungu tu but kinyongo ni dhambi na ni vibaya sana kwani ukimwekea mtu kinyongo huwa akitoki kinabaki kwenye akili yako.
 
There were a record 205 nominations for this year's prize. - wins a gold medal, a diploma and 10m Swedish kronor ($1.4m).

Source: BBC

Vipi in 205 hakukuwa na member hata mmoja kutoka JF.

Nyani akishinda hiyo 1.4m nadhani atarudi Bongo aende kutesa na mshikaji wake YO YO...lol
 
Hongera sana Obama, however it does not make any difference to Palestians who are suffering because of US-weapoans and support of Israel, to does not make any difference to Afghanistan, Iraqis chilrens killed every day by the US-army of whom you are Chief! (Mjaluo mikono yako inanuka damu)...hizo blablah za prize hazisaidii dunia hii come to reality and do the needful quit Iraq, Quit Afgahanistan, stop providing weapons to Israel (peace will prevail in Middle East).
 
YES WE CAN!!! Ah, mi nafuraha tele, maana he has really done a lot, na of course bado ana kazi kubwa mbele yake but this does not negate the past....
Sasa namsubiri my very good friend Nyani..... hehehehe
 
Acha nomgwa Geoff,

Inawezekana uko mtoni nyundo 15 hujawahi tia maguu Tz kuwapa hi masela.
hata wa beba box wengi tu wapo,tunawajua,HAWANA UZAWA!zaidi ya kuponda ardhi yao-mama!

huko ni kutawaliwa ki-fikra.HOME SWEET HOME BWANA!watu hawajui kwamba obama ametawaliwa ki-fikra
 


naona mtu mzima kichwa kimechafuka mvi.
sasa akipewa na minne ijayo itakuwaje?
 

Attachments

  • 091009-obama-nobel-vmed-2a.rp350x350[1].jpg
    9.2 KB · Views: 81


ninapomkubaligi obama ni kwenye hii sekta!MALAVIDAVI.jamaa yupo vizuri na anampenda sana mkewe,contrary na waswahili wenzie
 

Attachments

  • a181305e-ba18-4f6e-87d9-ca81752f5bd3.rp350x350[1].jpg
    13.5 KB · Views: 77
hana uzawa

Kwani nani alikwambia yeye ni Mzawa wa Kenya?. Yeye amezaliwa Honolulu, Hawaii Marekani sasa Ukenya hapa unaingiaje?.

Kama wakenya walifikiri kuwa kwa Obama kuwa raisi wa marekani basi wao tayari watakuwa jimbo la 51 la marekani na kupata pesa za stimulus msahau. Kwanza matatizo yao ya uchaguzi wameshindwa kuyatatua kwa kuwafikisha mahakamani wahusika na kujenga demokrasia leo Obama aende Kenya kuwa award nini?. Wasubiri amalize uongozi awe mtu binafsi ndiyo aende kutalii tena Kenya.
 
The first African-American to win the White House, Obama was praised by the Norwegian Nobel Committee for "his extraordinary efforts to strengthen international diplomacy and cooperation between peoples."

"Only very rarely has a person to the same extent as Obama captured the world's attention and given its people hope for a better future," the committee said. "His diplomacy is founded in the concept that those who are to lead the world must do so on the basis of values and attitudes that are shared by the majority of the world's population."

The committee also said Obama has "created a new climate in international politics."

The announcement came as a surprise -- Obama's name had not been mentioned among front-runners -- and the roomful of reporters in Oslo, Norway, gasped when he was named.

In his short time in office, Obama has acted on a wide range of issues from the economy to terrorism and wars in Afghanistan and Iraq.
Obama also lobbied unsuccessfully to bring the 2016 Olympics to Chicago, Illinois. After returning from Denmark, Obama expressed no regret about his trip, saying it is "always a worthwhile endeavor to promote and boost the United States."

Former Finnish President Martti Ahtisaari, last year's Peace Prize laureate, said it was clear the Nobel committee wanted to encourage Obama on the issues he has been discussing on the world stage.
"I see this as an important encouragement," Ahtisaari said.

The committee wanted to be "far more daring" than in recent times and make an impact on global politics, said Kristian Berg Harpviken, director of the International Peace Research Institute.

Wangari Muta Maathai, the Kenyan who won the 2004 Peace Prize, said Obama's win will help Africa move forward.

"I think it is extraordinary," she said. "It will be even greater inspiration for the world. He has shown how we can probably come together, work together in a cooperative way."

The award comes at a crucial time for Obama, who has administration officials dispatched on global peace missions.

Obama's envoy to the Middle East, George Mitchell, has returned to the region to advocate for peace negotiations between Israelis and Palestinians. Mitchell met Thursday with Israeli President Shimon Peres. He plans to meet Friday with Prime Minister Benjamin Netanyahu before talking with Palestinian leaders in the West Bank.
Secretary of State Hillary Clinton starts a six-day trip to Europe and Russia on Friday. On the trip, the secretary will discuss the next steps on Iran and North Korea, and international efforts to have the two countries end their nuclear programs.

The centerpiece of the trip will be her visit to Moscow, where she will work toward an agreement to take the place of the Start II arms control pact, which expires December 5. She will also address the new bilateral presidential commission that is working on a broad range of issues, from arms control to health.

Obama became the third sitting U.S. president to win the prestigious prize. Jimmy Carter was the fourth American leader to win, but he was long out of office when he was recognized in 2002.

This year's peace prize nominees included 172 people and 33 organizations, the highest number of nominations ever. The committee does not release the names of the nominees.


The Nobel recipient receives a prize of about $1.4 million.


Source: CNN
 
This is a shocking move by the Committee. Kwangu mimi binafsi, Obama bado hajaweka impact ya kutosha kwa kusudi la kuleta Amani. I would actually think that Bill Clinton yupo ahead of him especiall kutokana na hii program yake ya Global Initiave. Ile program si mchezo...nilimsikiliza anaongea na Letterman juu yake about 2 weeks ago - Clinton ni kichwa. Pia akaongelea jinsi ukiwa rais ni vigumu kuleta certain changes maana lazima uweke interest za nchi yako mbele kabla ya za watu wengine. Hivyo Obama has got his hands kind of tied, labda mpaka aache urais!
 

naunga mkono hoja yako mkuu!
 
Anastahili.George Bush alikuwa ameifikisha dunia pabaya.
 

Hapa kazi ipo!
Hebu tueleze vigezo vya kupata prize vikoje?

Waandaaji wana vigezo vyao na nwanaona Obama kavitimiza still watu mnabishana tu? Mlitaka akae jela kama Mandela miaka 27 ama akae kwanza madarakani for a couple of years? Kila prize inatemea ya nini? Kuna ya Mazingira kama aliyopata Wangari Muta Maathai, haiwezi kuwa na vigezo sawa na ya peace keeping ya Desmond Tutu. Obama we are told............... he was awarded it for "his extraordinary efforts to strengthen international diplomacy and co-operation between peoples".
The committee highlighted Mr Obama's efforts to strengthen international bodies and promote nuclear disarmament.


Sasa mnataka hadi amalize kipindi chake ndo apte tuzo?
Bila shaka Bado niponipo kapata maoni yangu!

 
Issue ni kwamba amefanya nini mpaka sasa kupewa hiyo Nobel prize!!! Maana isije ikawa ni maneno tu jukwaani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…