Obama awarded 2009 Nobel Peace Prize


Mwazange mkuu,

Tupo kurasa moja katika hili, ukiangalia hizo ni baadhi tu ya ahadi alizotoa ambazo kwa maana moja au nyingine zinaendana na maswala ya amani, hadi sasa hajafikia popote, sijapinga kwamba hatafanikiwa lakini kwa sasa mambo mengi hajayafanya kutokana na kuwa amekuwa ofisini kwa muda mfupi. Ana mipango mizuri na madhubuti lakini bado hajatekeleza bado kutikana na muda, kinga aliyonayo sasa hivi ni muda duu.

Sasa hawa jamaa wa Nobeli wamempa kwa vigezo gani.

Kwa ajili ya mazungumzo na Iran au North Korea...???

MJ
 
Shukran mkuu kama tumepiga hatua ya kuwa same page mkuu.....
Hebu mcheki mchea akitoa sababu [ame="http://www.youtube.com/watch?v=jDygJXC4OFM"]hapa[/ame]....Sio lazima kila mtu awe Albert Einstein kupata Nobel mkuu...
 
Hata CUBA sasa kuna mazungumzo ya hali ya juu sana kati ya maofisa wa US na Cuba ili kuweka mambo sawa baada ya vikwazo vya zaidi ya miaka 50,hata mbishe mumtukane Obama lakini deep down mnajua anataka amani kwa kila mtu bila uonezi wowote,nasikia yule sheriff wa Arizona naye kina Obama wameshamwambia aache upuuzi towards immigrants na Justice Dept inamchunguza...sijawahi ona wapenda vita,roho mbaya,wabaguzi kama rightwingers wa Julius AKA Ngabu!
 
Kweli kafanya vizuri katika kipindi hichi cha miezi 8 alichokuwa rais.Hii nobel prize kwa kigezo cha amani mie naona ilikuwa bado. Nadhani wameamua kumpa kwa sababu ni first black america kuwa president. Congrats president Obama, wamekupata changamoto ya kufanya kazi zaidi.
 
Very good point...
Nina imani umetake time kusoma hadi hii....🙂🙂

MIKHAIL GORBACHEV, FORMER SOVIET LEADER AND NOBEL PRIZE WINNER
I am happy. What Obama did during his presidency is a big signal, he gave hope. In these hard times people who are capable of taking responsibility, who have a vision, commitment and political will should be supported.
 
wangempa kwanza waziri mkuu wa zimbabwe iliyeonja joto ya jiwe, thanks the money has gone to our fellow black man.
 

The CNN Wire Latest updates on top stories
October 9th, 2009
Obama to donate Nobel prize money to charity
Posted: 02:04 PM ET
WASHINGTON (CNN) - President Barack Obama will donate the roughly $1.4 million award from his 2009 Nobel Peace Prize to charity, a White House spokesman said Friday.










Source:http://cnnwire.blogs.cnn.com
 
Reaction on the Obama's prize, majority seem to agree with selection for the winner of 2009 Noble prize for peace

 
As much as i am a supporter of Obama, i think it is too early for him to recieve this award. On the other hand i hope this does encourage him to work harder towards a better world.

Not deserving (yet). but if it spurs him to work harder then i'm all for it.
 
wameua kabisa hadhi ya hii tuzo...huwezi kumpa mtu Nobel kwasababu ameahidi mambo...wengi mnaquestion wakina Tutu, wakina Tutu na wengine walipigana sana peacefully na apartheid and was a unifying leader against apartheid system. Obama ni ahadi tu, hamna lolote, Guantanamo hajafunga bado, anapigana afghanistan bin laden yuko pakistan, Iraq bado wamejaa tele...peace gani jamaa ana miezi 9 tu ofisini gumzo tu kama JK, speech kibaao no action bado, hongera zake ila commitee imechemsha. Nobel fixi tu nobel prize za maana zilizobaki ni za science tu
 
and..on what achievement has he won such a prize?Weka kitu inayojisupport kaka...au bado unabofyabofya!

...his initiatives to reduce nuclear arms, ease tensions with the Muslim world and stress diplomacy and cooperation rather than unilateralism.

Kusupport, Previous Jamii-Member,
B.
 

Obama is already Rich and Famous, and $1.4Mil Wont Hurt him that bad!, In turn it will help him Painting a wonderful portrait in-front of the People he is serving and those few he is intending to navigate through, even to those who are against his propaganda will in some way start to feel his motives.

Go OBAMA,

And incase you are wondering I'm very Liberal By choice,
B.
 

Very good point...

watu wengine bana....inaelekea hata waliopewa (pamoja na mashabiki wao) hii prize hawaielewi kisawasawa....mpaka wanaanza kuwalaumu kamati......hizo criteria hebu mtuonyeshe nyie wajuaji mnaosema hastahili.............
 

utafikiri namuona Keith vile!!......lol.......yaani nasubiri kuona kipindi cha Keith.......
 
Mwnaahabari,
Mkuu wangu huyo Tutu alifanya nini hasa unachoweza kukiweka hapa. Hakuingia msituni wala maandamano ya mauaji hakuwepo, kazi kubwa alofanya ni kulaani Apartheid kitu ambacho wapo wengi sana mfano wake.. Steve Biko, na hata Nyerere played a big role kumshinda Tutu.. Haya tazama watu kama Arafat alifanya nini kama sii huyo huyo Arafat alikufa akiitwa Gaidi. Kina Perez wote hawa sioni walokamilisha hata moja zaidi ya mazungumzo na kuweka sahihi za amani za muda..Nambie huyo Al Gore kafanya kitu gani ikiwa hali ya mazingira leo hii ni mbaya kuliko wakati wowote ule. Hata huyo Reagan mimi sioni kitu alichokifanya cha maana kwa dunia hii..
Again Obama amekuwa na wapinzani kuliko rais yeyote...
Jana tu ati hata Bush ametunukiwa tuzo kwa misaada yake kwa nchi maskini...na hakuna mtu anayezungumzia hilo.. yaani ile miavuli tulopewa imekuwa taji la kupewa tuzo jamani!..kwa nini wasisubiri kuona matokeo ya Maleria nchi alizopeleka misaada na kuona kiwango cha vifo vya watoto kilivyoshuka!..

Mkuu ukitaka ku question kitu chochote unaweza kabisa isipokuwa wengine ni wateule machoni mwa Ubepari..Lakini wasichofahamu Obama ni mteule wa Mungu atazidi kuwashangaza wengi.
 

Tutu is one of the major voices waliyosaidia kuangusha apartheid..thats just a fact, kwasababu wengine walipigana kwa bunduki, wako wengi pia walipinga apartheid by non-violence....ndiyo maana alipewa heshima kubwa kuongea katika msiba wa Biko.
"In 1978, he accepted a position as general secretary of the South African Council of Churches (SACC), a 10-year-old organization with a decidedly political bent. The position gave Tutu increased media exposure, and he began to speak on talk shows around the world, pushing for economic sanctions against South Africa. In reaction, the South African government revoked his passport in 1979.

Tutu was just one of many voices in South Africa and abroad that called for sanctions, but his support for them helped legitimize what some considered a radical form of protest. The sanctions, eventually supported by much of the world, had a strong effect on South Africa. By the 1980s, the country’s economy was stagnant due to a critical shortage of investment capital, and diplomatic pressure led to the dismantling of apartheid. In 1982, Tutu’s isolation became a worldwide embarrassment for South Africa, ..."

"Tutu rather supported disinvestment, although it hit the poor hardest, for if disinvestment threw blacks out of work, Tutu argued, at least they would be suffering "with a purpose". In 1985 the U.S and the U.K (Two primary investors into South Africa) stopped any investments. As a result, disinvestment did succeed, causing the value of the Rand to plunge down more than 35 percent, and pressuring the government toward reform. Tutu pressed the advantage and organised peaceful marches which brought 30,000 people onto the streets of Cape Town. That was the turning point: within months, Nelson Mandela was freed from prison, and apartheid was beginning to crumble."


wanasema mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpe...he advocated non violent protests kama Nyerere alivyopigania Uhuru bila fujo...

Obama jina lake lilikuwa submited January 20, the deadline ya kusubmit majina for the prize ilikuwa February 1, 2009 which means hii achievement aliyoipata, alikuwa Rais for siku 11 tu....for Nobel Peace prize? Committee wamechemsha. kama nilivyosema , Nobel ya maana iliyobaki ni za science tu, maana wengine imewachukua zaidi ya miaka 20 for their research to be recognized...Hii ya peace prize sasa haina maana
 
Well just a major VOICE...nipe ushahidi hata mmoja alichokifanya hata Botha akalegeza mkanda au dunia wakamsikiliza na kuchukua hatua..
Binafsi ningempa pongezi Papa Paul kwa kazi aloifanya tofauti na Tutu ambaye hakutetea watu nje ya ndugu zake..hakupiga domo kuwasaidia Zimbabwe, Palestine, Tamil, Tibet, Bosnia, Zanzibar na kadhalika iweje apokee tuzo kubwa kama hilo kwa kazi ambayo hata wewe ungekuwa Askofu huko South ungesema hivyo hivyo..For the sake ya Ubishi, Tutu hakuvuka nje ya mipaka ya nchi yake..tuzo la nini ikiwa leo mnaweza kumbeza Obama!
 
Dah hebu mchekini Boss Limbough anavyopasuka huko kwenye kipisi hiki redioni kwake leo hii. Kong'oli hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…