Obama bows to Japanese Emperor, Empress...Maswali kibao!

..wanaomkandia Obama kwanza waulizwe kuhusu elimu yao, na pia kama wametembea nje ya Marekani.

..halafu unaweza kukuta Wamarekani wanamfokea namna hiyo, halafu wenyewe wakitoka hapo wanakwenda kula Chinese food!!

NB:

..Obama anaonekana ameinama zaidi kwasababu ya tofauti ya kimo/urefu kati yake na Mfalme wa Japan.

..nakumbuka Mzee George Bush Sr alikwenda Japan akazidiwa na ugonjwa basi aliishia mpaka kumtapikia Waziri Mkuu wa Japan. Wamarekani walitubuka huijapata kutokea.
 

Nadhani ishu hapa ni mambo ya protokali tu. Anavyoinama inama hivyo anavunja protokali. Zaidi ya hapo ni siasa na soga tu.
 

Wewe unasound kama anti-White au anti American.
 
Julius,

..Wamarekani wanapaswa kuangalia kama Raisi wao amewa-offend Wajapan kwa jinsi alivyomsalimia Mfalme wa Japan.

..kama Wajapan hawajakuwa offended basi Obama amefanya jambo jema, na hakuna sababu ya msingi kwa Wamarekani kulalamika.

..Wamarekani wanapaswa kuelewa kwamba wana-gain zaidi kwa kuheshimu tamaduni na itifaki za mataifa mengine kuliko kinyume chake.
 
Huyo Emperor urefu ft 2 unusu, sasa ili amuone eye-to-eye angefanyaje zaidi ya kuinama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…