Obama cancels millions in Uganda aid

Obama cancels millions in Uganda aid

Kabaridi

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2011
Posts
2,022
Reaction score
534
Earlier this week, the Obama administration confirmed a series of cuts in aid to Uganda in response to the countries. Anti-LGBT laws that were recently passed. The cuts came after Vice President Joe Bidens speech at the Human Rights Campaign in Los Angeles promoting LGBT rights domestically and abroad. Biden said that rights abroad were going to be a focus of American foreign policy.

"Find me a country in the world that singles out a set of citizens, and I'll guarantee you that country is where justice does not live," Biden said Saturday.

"In every aspect of American foreign policy, we should have as the focus in our foreign policy that we lead not merely by the example of our power, but by the power of our example. That's what makes us different. That's what makes us strong."

According to a White House blog post by Grant Harris, special assistant to the president and senior director for African affairs on the National Security Council, and Stephen Pomper, senior director for multilateral affairs and human rights on the National Security Council, the following actions have been taken:

We are shifting funding away from partners whose actions don't reflect our values, including the Inter-Religious Council of Uganda (IRCU). The IRCU's public stance on homosexuality could foster an atmosphere of discrimination that runs counter to efforts to provide an effective and non-discriminatory response to the HIV/AIDS epidemic. While the IRCU will receive $2.3 million to ensure uninterrupted delivery of treatment to
the 50,000 people under its care, we will shift the remaining $6.4 million of IRCU's funding to other partners.
An effective HIV strategy must reach and treat key at-risk populations. However, the act's provisions against 'promotion' and abetting homosexuality leave questions about what researchers, health workers, and others may do under the law.

As a result, we are suspending the start of a survey to estimate the size of key at-risk populations that was to be conducted by the Centers for Disease Control and Prevention and Uganda's Makarere University. Proceeding with the survey could pose a danger to respondents and staff.

The act potentially threatens the safety of LGBT tourists in Uganda and the liberty of those who show support for
Uganda's LGBT community. Therefore, approximately $3 million in funding designated for tourism and biodiversity promotion will be redirected to NGOs working on biodiversity protection.

We will shift the Department of Defense-sponsored Africa Air Chiefs Symposium and East Africa Military Intelligence Non-Commissioned Officer course to locations outside of Uganda.

Certain near-term invitational travel for Ugandan military and police has been suspended or canceled.
In Uganda, violators of the law face a 14-year prison sentence for a second conviction, and up to life in prison for repeat offenses.

cc Mekatilili Geza Ulole Timchoice
 
Huyu chotara wa kiyahudi mpenda sifa kweli..
Hajui baya wala zuri
Yupo tu....masifa ndio anapenda..basi yule khabithi Bush anajua thamani ya utu familia na ndoa...akisema wazi ndoa ni institution kati ya mke na mume kwa ajili ya kuendeleza human races ili dunia iendelee.
Sasa huyu chotara wa kiyahudi yeye kashikilia mashoga waoane na halali turuhudu au atstunyima misaada yake.! To hell na visenti vyake..na salama hana mtoto wa kiume...
 
kama biden ni chotara wa kiyahudi basi hata wewe utakuwa ni chotara wa kiyahudi. kwa taarifa yako, biden mama yake na baba yake wote wana asili ya Irish na uingereza. hakuna hat atone la uyahudi ndani yake. kwanini mnawachukia sana wayahudi? ndivyo mnavyofundishwa?

tukija kwenye topic, wamarekani ni wajinga sana, akili zao ni kama panya. uchafu wanaochochea hata mnyama hawezi kuufanya, wazungu tu ndio wanaupenda uchafu huo. pia, vihela walivyovikata ni vidogo sana sidhani kama italeta athari kubwa kwa uganda. pia kwa mfano kama kwenye hayo mambo ya makanisa waliyokata misaada, kwangu mimi bora makanisa yetu yasipokee chochote toka magaribi kuliko kupokea vitu vya mashoga. mimi shoga hata akinipa chakula siwezi kula, hata akinisalimia sitaki hata kuitikia, ni uchafu uliopitiliza. bofya http://en.wikipedia.org/wiki/Joe_Biden
 
Obama ndio chotara wewe vipi mbona mzembe...soma points nani anakusudiwa.
Obama ni chotara sio mwafrika
 
Freedom from "Western Aid Industry" is the best thing that can happen to any African country. For every dollar they give to Africa they extract nine dollars from Africa. Western AID is not because they are altruistic, its just PR to get around here. They have homeless people in their countries that need the AID that they are parading here in Africa. So Uganda begins a path to self sufficiency that will make the West irrelevant to them something that the West does not like.
 
Obama ndio chotara wewe vipi mbona mzembe...soma points nani anakusudiwa.
Obama ni chotara sio mwafrika
leta facts zinazoonyesha obama ana asili ya kiyahudi....onyesha hapa la sivyo nyamaza kimya. kama kupinga ushoga wacha tusaidiane kuupinga na kuulaani lakini usiingize masuala ya wahayudi hapa si kila mtu anawachukia wayahudi kama wewe.
 
Boko haram na makundi yote yanayofanana nayo yamepandikizwa na CIA..wakiua au kubaka ujue CIA (wakristo) ndio wamefanya huo ushenzi
 
Afazali! At least viongozi wa Afrika watajifikiria mara mbili mbili kupeleka bakuli la omba omba ulaya! Hata matonya namba 1 naona kasitasita hehehe! Nitafurahi zaidi ikifika stage kila kiongozi wa kiafrika akitaka msaada agongwe na yeye kinyume na maumbile halafu apewe msaada! Itafaa sana, ni ujinga na kujidhalilisha kwa kiasi kukubwa sana kwenda kuomba misaada nchi ambayo haina hata nukta ya rasilimali tulizonazo!
Asante Mungu/Miungu wa Afrika nafikiri mnaanza kuamka maana hali inakua mbaya mno sasa!
 
leta facts zinazoonyesha obama ana asili ya kiyahudi....onyesha hapa la sivyo nyamaza kimya. kama kupinga ushoga wacha tusaidiane kuupinga na kuulaani lakini usiingize masuala ya wahayudi hapa si kila mtu anawachukia wayahudi kama wewe.

vipi wewe shoga nini ?
kwani nani ameleta ameongea chuki?
kusema chotara wa kiyahudi ni chuki?
mama yake ni myahudi + baba jaluo = chotara
hakuna chuki ni facts
 
vipi wewe shoga nini ?
kwani nani ameleta ameongea chuki?
kusema chotara wa kiyahudi ni chuki?
mama yake ni myahudi + baba jaluo = chotara
hakuna chuki ni facts
wewe nafikiri ndio utakuwa shoga. ukiangalia post zangu tangu awali naulaani ushoga. tatizo ninalopingana na wewe unaingiza uyahudi ukifikiri kila mtu anachukia wayahudi. soma vizuri biography ya obama na mama yake na babu zake upande wa mama, asili yao wote ni Ireland ya UK. na sio kwamba walikuwa irish jews hapana ni wairish kabisa wa asili waliohamia marekani/hawaii miaka ya zamani. unajua kama mnafundishwa kuwachukia wayahudi mjue kuwa sio kila mtu anawachukia wayahudi. sisi wengine tunalala tunaamke tunaiombea israel na mji wa yerusalemu. peleka chuki zako huko.

nikija kwenye suala la ushoga, hii ni dhambi, na ni dhambi iliyosababisha hata Mungu akateketeza sodoma na gomorah ndio maana inaitwa sodomy. Mungu alichukua maamuzi magumu kuchoma moto kabisa ile miji hadi haijabaki hata mabaki...mabaki yake yapo maeneo ya syria na lebanon ila ni kwenye tabaka la udongo la chini sana ni kwasababu ya dhambi ya ushoga. ni kitu kinachochukiza kuliko vitu vyote duniani na tz tukubali hata misaada tusipate lakini tupinge huu ushetani. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Israel.
 
kama biden ni chotara wa kiyahudi basi hata wewe utakuwa ni chotara wa kiyahudi. kwa taarifa yako, biden mama yake na baba yake wote wana asili ya Irish na uingereza. hakuna hat atone la uyahudi ndani yake. kwanini mnawachukia sana wayahudi? ndivyo mnavyofundishwa?

tukija kwenye topic, wamarekani ni wajinga sana, akili zao ni kama panya. uchafu wanaochochea hata mnyama hawezi kuufanya, wazungu tu ndio wanaupenda uchafu huo. pia, vihela walivyovikata ni vidogo sana sidhani kama italeta athari kubwa kwa uganda. pia kwa mfano kama kwenye hayo mambo ya makanisa waliyokata misaada, kwangu mimi bora makanisa yetu yasipokee chochote toka magaribi kuliko kupokea vitu vya mashoga. mimi shoga hata akinipa chakula siwezi kula, hata akinisalimia sitaki hata kuitikia, ni uchafu uliopitiliza. bofya http://en.wikipedia.org/wiki/Joe_Biden
Obama chotara
 
vipi wewe shoga nini ?
kwani nani ameleta ameongea chuki?
kusema chotara wa kiyahudi ni chuki?
mama yake ni myahudi + baba jaluo = chotara
hakuna chuki ni facts[/QUOTE
Ungekuwa Mwanaume usingekuwa liberal .
 
bro, sijui dada...jaribu kufanya tafiti za asili ya mama yake Obama, na mama yake na baba yake mama yake obama hadi vizazi viwili au vitatu, nilivyowasoma mimi walikuwa wa Irish sio Jews. nimecomment kukupinga baada ya kufanya tafiti. tatizo lenu nyie ukiona mzungu tu unasema myahudi, kwasababu tu unawachukia wayahudi na israel. ninachopinga mimi hapa ni wewe kuwapakazia wayahudi na ushoga wa obama,...ushoga wa obama ni wake si wa wayahudi. na ushoga ni dhambi, kama ninyi ni mashoga basi hamstahili kuishii hapa tz, mfateni obama aliko mkaishi huko muolewe huko na jehanum iwapate huko.
 
Boko haram na makundi yote yanayofanana nayo yamepandikizwa na CIA..wakiua au kubaka ujue CIA (wakristo) ndio wamefanya huo ushenzi
yaani hivi ndivyo mnavyofundishwa huko mnakoenda kuswali. sasa kama mwanafunzi upo na akili ya namna hiyo mwalimu wako si ndio atakuwa shetani kabisa? pole sana kwa kulishwa takataka.
 
Back
Top Bottom