Obama care ni huduma ya unafuu wa matibabu kwa wagonjwa,
na hii ikimaanisha kwamba serikali inalipa asilimia kadhaa za matibabu kwa wagonjwa, vilevile hata kwa walemavu.
Sasa huenda akaipinga kutokana na matakwa yake binafsi au yenye faida kwenye serikali cuz kila rais aingiaye madarakani huwa na mfumo wake wa kiutawala, mfano Magufuli alifungia semina nyingi pamoja na posho kwa wafanya kazi serikalini lkn kipindi cha kikwete viliruhusiwa.