Hizi picha zilivyounganishwa utafikiria kweli Obama alikuwa anamnyatia huyu bibie. Namkumbuka huyu mwana dada nae alijizolea umaarufu kweli wakati ule wa kampeni za uchaguzi US.