Obama in Ghana

Obama hakupenda kumwambia pale pale White House kwamba your country is very corrupt, leo hii alipokuwa Ghana, Obama katuma hii message kwa Kikwete, kama kweli Kikwete ana akili sijui atarudi tena uko Marekani kutembeza Bakuri kama alivyozoea au la!!!!

1) Corruption case:
I. No country is going to create wealth if its leaders exploit the economy to enrich themselves: Example "Mkapa/Chenge/Mramba/etc kagoda"
II. No business wants to invest in a place where the government skims 20 percent off the top: Example, Richmond, Rada, Vitambulisho, you name it.
III. The head of the Port Authority is corrupt. Example Bandari ya Dar Es-Salaam TICS :"nina orodha ya watu wanaopokea rushwa hapa bandarini, nitawashughulikia (Kikwete)
IV. No person wants to live in a society where the rule of law gives way to the rule of brutality and bribery. Example, Tarime Mining /Zanzibar 2000 Election

That is not democracy, that is tyranny, even if occasionally you sprinkle an election in there. And now is the time for that style of governance to end.

Agriculture:
Serikali inaweza kuwapa zana za kilimo wananchi kulima na kuexport mazao badala ya kuleta waarabu kuja kulima ekali 500,0000 ili kukidhi njaa zao Kwa miaka 99.

"Obama" That's why our $3.5 billion food security initiative is focused on new methods and technologies for farmers -- not simply sending American producers or goods to Africa. Aid is not an end in itself.

The purpose of foreign assistance must be creating the conditions where it's no longer needed . I want to see African not only self-sufficient in food, I want to see you exporting food to other countries and earning money. You can do that. (Obama speech)

http://www.whitehouse.gov/the_press_office/Remarks-by-the-President-to-the-Ghanaian-Parliament/
 
Hilo dongo la kubadili katiba na kukomalia madaraka,utawala bora ni la Mugabe na wenzake wanaokomaaa hapo hapo......JK amesifiwa,amefanya yapi??au hotuba zake akienda ndizo wanazofuata?waje hapa waone matatizo ya uchumi,inflation rate,bei ya bidhaa muhimu unga,mchele,maharage nafaka kwa ujumla....vipato,wakulima wanavyopata kidogo .....ukulima duni,kutegemea mvua etc.....sasa wanamsifia kwa amani labda na kuwabeba mafisadi
 
You have the power to hold your leaders accountable ( Obama, 2009).

Haya maneno yananiuma sana nikiwaangalia na kuifikiria Tanzania inakoeleka na viongozi wake.
 
Last edited by a moderator:
I concur with you 100% hata nadhani kama Obama mwenyewe
angesikia angewaambia waendelee na shughuli zao. Waafrika samtaim
tunajishukisha hadhi wenyewe tu hata bila sababu.

Somehow uko right bro ila tusisahau kuwa the advent of colonialism, post colonialism as well the neo liberal economic schemes has amplified the inferiority complex ya waaafrika towards wazungu.

Bro, uko US, at least wewe unaweza kuwa unajua vyema zaidi kuliko th rest of us who are not there kuwa sometimes wazungu they hopeless hata sisi tuna afadhali, lakini Mjaluo wa Kibera doesnt know that, inlc. our politician, mara ngapi wasomi wetu wamekuwa wanadharauliwa on the face ya wataaalam wa Kizungu regardless kuwa they are empty headed?

Another good Obama speech, hope Fav's alifanya kazi yake vyema lakini still for me ina zua maswali mengi kuliko majibu.
 

Why, why, why? hii dharau ndio inaturudisha nyuma sie Waafrika, tribal stereotyping generates more hate than you can ever fathom. tafadhali kaka yangu ama ni dada yangu, i dont see any need for you to have included Jaluos in your post.. Lets keep the hate to a minimum.
 
kumbe speech yake ya Ghana naweza hata kuipata hata kwa Kiswahili. Kweli Tanzania tunaweza kwenda mbali sema tu hatuoni. Katika Lugha zote za asili Africa, hii speech imetolewa kwa Kiswahili tu! Hii ni aibu kwa Ghana, na ni sifa kwa Tanzania. Now we need to expand this opportunity. Wizara gani ina-deal na lugha?
 
Hii kauli ya Waziri ni sawa na wakenya waliotangaza siku ya mapumbuziko baada ya Obama kushinda urais wakati wa Marekani waliendelea na kazi zao. Miaafrika bwana ni noma kweli!!
 
Sometimes najiuliza, hivi mtu akitoa kauli za jinsi hii, anakuwa katika hali gani? nafikiri ndugu huyu alikuwa na furaha kupita kiasi au alizidiwa na emotions kama za furaha na anajikuta hajui anasema nini.

ndio maana ndugu zetu wakenya walitamani aanzie kwao, nafikiri kwa tamaa au emotional za aina hiyo.

Waafrika tuko nyuma na tusaidiane kuondokana na fikra hizi potofu.
 
Marekani inapambana sana kurudisha sura yake kwa Uwanja wa dunia baada ya kuchafuriwa na Bwana George Bush.. kwa vita zake za kiujinga duniani , Ndio maana Obama anatoa hotuba kali kali sana za kuonyesha mabadiliko katika utawala wake...Africa lazima tupambane kuleta mabadiliko halisi kwa watu wetu bila kumutegemea sana Obama, yeye ana kazi Ngumu sana ya koboresha Uchumi wa marekani...Hasa sana Kutafuta mafuta, na mali ya asili katika africa, bila kuleta Mchafuko kama George Bush... katika bala la middle East Jitihada zetu lazima tulete mwamuko mpya africa za kujikomboa ...Bila kutegemea msaada..kutoka magaribi...Tuyakubali mazuri ya Obama lakini tuwe na mipango kambabe ya kupambana na Ulafi wa viongozi wetu africa.
 
Tafsiri mambo ya Emmanuel Muganda na Vivian Lusweti hayo. VOA Swahili service.
 
Kuna Quote nyingine inasema "Africa needs strong institutions not strong man" hii imekaaje mimi nafikiri "Africa needs strong man to put in place strong institution" or rather we need both strong institution na strong man" what you say??
 
kwa jinsi waafrika tulivyokuwa wavivu wa kufikiria nna ku analyze vitu, huyu Obama katupumbaza akili zetu waAfrica almost wote, sasa tupo bize kushindana nani wa kwanza kukutana na Obama, nchi gani ya kiAfrica ya kwanza kutembelewa na Obama, lakini tunashindwa kujua ze secret behind this, Obama hakuingia hapo by chance hizo ni program za muda mrefu mno za kumuandaa Obama kuwa pres wa America, cha kufanya na ambacho ni cha muhimu kwa wa-Africa ni kuanza kumstudy na kumjua Obama anataka kufanya nini kwa WaAfrika,? na sio kupapatika kutaka kutafuta chuki eti ni kwa nini hakwenda Kenya au kwa nini Kikwete awe wa kwanza kumuona obama
 


Wacha Vituko wewe sisi CCM tunasema tunakubalika na JK kwa utendaji wake bora kabisa alikuwa wa kwanza kumuona tena Ikulu na maunda mmeyaona ndiyo kaenda Ghana so CCM inakubalika na hasa Mh.JK hahahahaha unasemaje ?
 
Unafikiri Jasusi peke yako? Mambo ya software forensic pamoja na makaratee mengine trade secrets.Hata hilo file lina chapa zao.
kwi!kwi!kwi!
Itabidi unifunze nami utaalamu huo wa ujasusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…