Obama kanyanganywa sim, JK je?

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855
Tumeona Obama anavyolalamika kutenganishwa na Blackberry yake. Can you imagine JK anavypenda kutuma text na zile sim kwa wale rafiki zake wa Yanga (asili) kama atalikubali hilo


Imagine vijana wa R.O wamambie kwa sababu za kiusalama Mr President tunaconfiscate Laptop na Mobile phone yako kwa sababu ya kiusalama

Naona Mkwere atawatukana matusi yote na alivyo mtoto wa mjini tusi lake la kwanza litakuwa Ku!"£$%^&*()_ zenu

kama kuna Ms!"£$%^&* atabana text msgs toka kwa akina mzee mwinyimvua, madenge na wale vinyozi wangu wa pale mwembe Yanga basi hamuna kazi



Subutuuuuu


Vijana wa R.O itabidi wauchune tuuuu maana JK kwa sababu ni mtu wa watu hana wasi wasi anajua tuu kuwa akitaka chai basi aibuka tuu un anounced pale K tea shop bila kokoro huku anaendelea kubishana na Dr Riki kama wenger anatimuliwa na AS-NALI au la


 
GT,
Tunatofautiana katika taratibu. Hapa Marekani mawasiliano yote anayofanya rais akiwa Ikulu ni mali ya taifa. Tanzania tunaweza kuwa na rais Ikulu akifanya biashara mambo ni kanyaga twende. Mwache Mkwere atambe na Blackberry yake.
 
Kwa maoni yangu,napata picha kwamba katika hili kuna 'mkono' wa manufactures wa simu za blackberry.They know kuwa Obama kwa sasa amekamata attention za watu wengi duniani,hivyo basi kueneza habari kuwa anatumia simu ya aina flan kunaweza ku_speedup their sales.Naamini kuwa Obama anajua/alijua namna mawasiliano ya US president yanavyokuwa monitored,hivyo habari ya kuachana na simu yake atakuwa alishajiandaa/amejiandaa nalo kama ilivyokuwa ktk uvutaji wa sigara.And Im sure yes,he can!N mtazamo tu!
 
GT,
Tanzania tunaweza kuwa na rais Ikulu akifanya biashara mambo ni kanyaga twende. Mwache Mkwere atambe na Blackberry yake.


!@##@##$$%&*()(*&*&^^%%$$#@#@#$%&^*(*()....................
 
GT,
But on a serious note, Obama will be the first US President to have a laptop in the White House. Can you imagine that? US being a leader in technology kumbe akina Bush walikuwa mbu3 katika matumizi ya taaluma hiyo?
 
GT,
But on a serious note, Obama will be the first US President to have a laptop in the White House. Can you imagine that? US being a leader in technology kumbe akina Bush walikuwa mbu3 katika matumizi ya taaluma hiyo?

Sio kwamba walikuwa mbumbumbu bali waliamua kutokuwa nazo. Lakini wewe hilo hukuliona na ukaruhusu ushabiki wako ku cloud impartiality yako. Una uhakika gani Crawford hakuna laptop? Halafu unaona kuwa na laptop mali eeeh? Mimi sina laptop....kwa hiyo mimi ni mbumbumbu?
 
Nyani,
With all due respect siwezi kumu-imagine George Bush akitembea na laptop au Blackberry. Kwanza atakuwa anawasiliana na nani, au anajiwekea kumbukumbu gani? Huyu ni mbu3 C student wa Yale au? Angalia alipoifikisha nchi hii. Shame!
 
Nyani,
With all due respect siwezi kumu-imagine George Bush akitembea na laptop au Blackberry. Kwanza atakuwa anawasiliana na nani, au anajiwekea kumbukumbu gani? Huyu ni mbu3 C student wa Yale au? Angalia alipoifikisha nchi hii. Shame!

Wingnut John Kerry naye alikuwa average student Yale....so what's your point?

And what do college grades have to do with having or using a laptop? This is a silly connection...
 
I think they should just let him keep his blackberry...remember even a President must have some downtime just like the rest of us, been into boring meetings let say to cheer him up he can use his blackberry. Besides he has shown himself to be nothing if not disciplined, so there's no reason to believe he'd let his BlackBerry-ing get in the way of important duties.

cheers!
xoxo
 

Kelly01, nadhani watu wengi wanasahau kuwa hamna sheria inayosema kuwa hawezi kukeep blackberry, issue ni kuwa president's electronic communication have to be on record, kwa hiyo yeye binafsi hatapenda hilo na ndio issue.

Kukwepa hilo atakachoweza kufanya ni kuassign blackberry ya yule dogo wa UNC, msaidizi wake kuwa ndio watu watume na yeye atasoma (ofcourse those on the circle).

JK bila cellphone si atakuwa kichaa. Nasikia usiku mzima mkuu yuko hewani na mademu sorry i mean watanzania.
 
Duh Moelex...Comment yako ya mwisho mad eme crack out...but let me ask this?..hivi mr president hatakiwi kuna na private with his wife?..with that said kama anatumiwa msg za mapenzi na mke wake jee? you know those kind of sms!..
 
Hivi Kikwete na yeye ni mtu wa ku-beep watu? Maana wabongo utakuta ana simu ya $1000 lakini haina hata credit kazi ku-beep 24/7.
 
Duh Moelex...Comment yako ya mwisho mad eme crack out...but let me ask this?..hivi mr president hatakiwi kuna na private with his wife?..with that said kama anatumiwa msg za mapenzi na mke wake jee? you know those kind of sms!..

Kutumiwa ni possible, lakini President Records Act, inasema everything will become public at a later date au kama kuna issue then subpoenas za congress zikitoka hatuchelewi kurudi kwenye theutamu ahaha
 
JK bila cellphone si atakuwa kichaa. Nasikia usiku mzima mkuu yuko hewani na mademu sorry i mean watanzania.

Mkuu nimecheka sana Muungwana wakati wa usiku yupo na Watanzania akikata meseji hahahahaah
 
Kutumiwa ni possible, lakini President Records Act, inasema everything will become public at a later date au kama kuna issue then subpoenas za congress zikitoka hatuchelewi kurudi kwenye theutamu ahaha

Duh that's sucks!...
 
Ndiyo maana mimi nakwenda over minutes kila mwezi usikute hawa watu wa simu wanatumia simu namba yangu for their own purpose! see wanamchunguza raisi wao ili iwe nini sasa wamarekani bwana walidhani watambamba ana kichenge (mistress) nini?au ana contact na alquida?



Personal phone records for U.S. president-elect, Barack Obama, were breached by Verizon Wireless employees this week, a Verizon spokesperson reported. The company notified Obama's transition team about the incident Wednesday (November 19th, 2008).

The phone on the account was not Obama's trademark smart-phone, so none of his personal e-mail or voicemail could be accessed. Obama spokesperson, Robert Gibbs, said the president-elect no longer uses the phone in question. Regardless, Verizon launched an internal investigation to determine whether or not information was shared outside the company.

All employees who looked at the records are on temporary leave, with pay, pending the investigation
 
Obama mwenyewe si ndio ali-vote kuwapa immunity makampuni ya simu yasishtakiwe yaki-collaborate na Feds kwenye kutoa phone records za watu. Hii wala simuonei huruma kwa sababu yeye mwenyewe ndio supporter.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…