Obama : Kenyatta ndio kiongozi pekee na uwezo kuunganisha Afrika nzima

Obama : Kenyatta ndio kiongozi pekee na uwezo kuunganisha Afrika nzima

Nimechukia sana. Badala ya kumsifu wa kwetu kwa kuwa mtembeleaji wa nchi nyingi duniani yeye anamsifu Kenyatta! Au kwa vilena yeye anaasili ya Kenya? Ampe na wetu heshima, ngoja tutamjadili Obama kwenye KK ya Chama chetu maana pamoja na sifa zoote tulizompa ndio atutendee hivyo?
 
Hii nukuu ni inadhihirisha hiyo habari ni feki.

According to a secret annual journal published by the White House last week, US President Barrack Obama described Uhuru as an “African leader who is loved by all Africans”. He said the African Union (AU)’s support for his case at the ICC is a good indication that Uhuru may onetime become one of the greatest leaders in Africa.

Eti source ni secret annual journal.....hahahaaaaa. Ila kwa vile Miafrika mingi ni mijinga, basi hata kujisumbua kusoma kwa kutumia jicho la tatu haitajisumbua.
 
Si ndio huyu obama aliyekuwa akiwaponda wakenya na kumsifia Raila?kweli wanadamu ni wadhaifu wote


Mkuu kila binaadam ana price yake ya kununulika.......ishu ni how much,hata Pope anaeza nunulika iwapo dau litafikiwa!!!!!
 
Mbona hilo ni dongo kawatupia viongozi wa kiafrika? just read between entire article and inter prate purposively you will grasp the meaning
 
COW is a living example of Uhuru's leadership qualities. In brief period he has pushed EA integration further to the chagrin of the Sitta's.
 
According to a secret annual journal published by the White House last week....:smow:
 
No doubt Kenyatta pulled a magical on that but that report screams FAKE ALL THROUGH.
 
Hii nukuu ni inadhihirisha hiyo habari ni feki.



Eti source ni secret annual journal.....hahahaaaaa. Ila kwa vile Miafrika mingi ni mijinga, basi hata kujisumbua kusoma kwa kutumia jicho la tatu haitajisumbua.

mkuu nyani ngabu umemaliza yote,kwanza mleta post ji a umeliona?
kama uhuru aliweza kuwa lobby viongozi wa africa kumtete wakati wanajua kabisa kwamb huyu jamaa anakesi ya kujibu tena mauaji ya halaiki,bado hao mabwege wakapaza sauti na kusema eti mwana wa africa anaonewa kumbe jamaa anakibaji bana.
kwa hili naungana na obama kuwadhihaki,kuwapiga kijembe hawa viongozi wetu wa Au kwa kuwa na akili finyu kiasi cha kuchezewa na uhuru.
 
The inconvenient truth ni kwamba serikali za afrika nyingi ni za kifisadi fisadi, hivyo walimtetea uhuru si kwa sababu ni haki bali kwa sababu almost kila mtu anaweza kushitakiwa ICC anytime. Mfano: Mugabe, Museveni, ...kwa hiyo Uhuru wala hana tabu ya ku-lobby mafisadi wenzie.
 
Back
Top Bottom