Kyenju
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 4,632
- 1,773
Pamoja na tamko zito la Marekani kusitisha misaada Nchini Uganda baada ya Mseveni kusaini Sheria ya kupiga marufuku Ushoga. Leo Rais Obama amesema atatuma ndege za Kivita kuisaidia Serikali ya Mseveni kumsaka Joseph Konyi. Swali, Obama amebadilisha msimamo au ndiyo anavizia mafuta ya Waganda?