Obama kupeleka ndege za Kijeshi Uganda

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
4,632
Reaction score
1,773
Pamoja na tamko zito la Marekani kusitisha misaada Nchini Uganda baada ya Mseveni kusaini Sheria ya kupiga marufuku Ushoga. Leo Rais Obama amesema atatuma ndege za Kivita kuisaidia Serikali ya Mseveni kumsaka Joseph Konyi. Swali, Obama amebadilisha msimamo au ndiyo anavizia mafuta ya Waganda?
 
Kama Uganda wanachimbaga mafuta...baas...imekula kwao...
 
maslahi kwanza mambo mengine baadae...............hiyo ndiyo USA
 


mafuta hayo
 
Hatuna marafiki wala maadui wa kudumu ila tuna maslahi ya kudumu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…