Obama laughs to beckam when england draws with usa

Obama laughs to beckam when england draws with usa

damn

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2010
Posts
582
Reaction score
81
OBM.jpg

Ipe Maneno picha hii for more GONGA HAPA
 
Kweli kabisa. Reflection ya screen inayoonekana mezani sio yenyewe kabisa!

Acha uongo.
analyse kwa kuangalia picha zingine alipokuwa amekaa. rudia kucheck kwenye hiyo link.
 
Acha uongo.
analyse kwa kuangalia picha zingine alipokuwa amekaa. rudia kucheck kwenye hiyo link.

Umecheki caption kwenye hizo picha au umeangalia tu picha? Reflection ya screen inayoonekana kwenye meza ina wekundu fulani ambao hauendani na picha ya kwenye screen. Kama nilivyosema, caption kwenye hiyo picha inasema "The following photo of President Obama, which is making the rounds on the Internet and Twitter, is obviously Photoshopped. As you can see from the reflection on the table, it looks like he's actually watching Gilligan's Island. That doesn't make it any less fantastic". Need I say more?
 
Naona Damn amekimbia.

kijana sijakimbia, just wanted to draw you. Am also on graphic biashara, it if fully fotoshoped. Unajua nina watu wanampenda sana Beckam hapa I was teasing them, walikasirika kidogo wanitoe roho nikaamua kukimbia.

But Beckham alikuwa na wakati mgumu sana siku ile.
 
Back
Top Bottom