Obama makes first trip to Kenya as President (July 2015)

Obama in Africa: I'm Proud To Be First Kenyan-American President

by Chris Jansing

NAIROBI, Kenya - President Barack Obama spoke proudly of his Kenyan heritage before a raucous and affectionate crowd in Nairobi on Sunday.

"I am proud to be the first American president to come to Kenya, and of course I'm the first Kenyan-American to be president of the United States," he told the packed sports hall in Nairobi, to the loud cheers of over 4,500 people in the audience. It was the time he referred to himself as such.

The president recalled his first trip to Africa, at the age of 27, when he arrived at the airport and tried to find his luggage. He said, a woman who saw his name asked if Obama was related to his father, whom she had known.

"That was the first time my name meant something and that it was recognized," the president said. He went on to meet "brothers, aunts and uncles ... saw the graves of my grandfather and father."

Obama's father is buried in western Kenya.

But the personal quickly gave way to the practical and political, with Obama pledging to stand by Kenya as it battles terrorism and calling on all Kenyans to stamp out corruption.

"Every shilling that's a bribe could be put in the pockets of someone doing an honest day's work," he said.

Related: Obama Takes Jab at Birther Movement on Kenya Trip

He also mentioned the importance of educating women and recognizing their place in society.

"Treating women as second class citizens is a bad tradition - it's holding you back," he said. "Imagine if you have a team and you don't let half of the team play - that's stupid."

Obama in Africa: I'm Proud To Be First Kenyan-American President - NBC News
 
Eti nyumbani ni nyumbani, msiwe mambumbumbu! Obama ni Mmarekani hata Nyani Ngabu anajua hili.
Je angeenda kutembelea mbuga za wanyama mngesemaje?

Toka mwaka 1988 jamaa anaendaga kijijini kwao kogelo, vipi umenuna?!
 
Last edited by a moderator:
Eti raisi wa Dunia!!!!!!!!!!!Dunia gani hiyo!!!!!!!!!
 
Kweli ni nyumbani tu hata kukiwa porini Hatimae Obama amekubali yeye ni muafrica kutoka East Africa. Kenya
 
Kweli ni nyumbani tu hata kama ni porini
Hatimae Obama amethibitisha. Kuwa yeye ni Muafrika kutoka Kenya East Africa
 
Kweli ni nyumbani tu hata kama ni porini
Hatimae Obama amethibitisha. Kuwa yeye ni Muafrika kutoka Kenya East Africa

Umeona ee, kuna maneno aliyatamka ambayo yangemkosesha kura Marekani. Kwamba yeye ni "Kenyan America"....hehehe!!! Kuna jamaa walikua wanajiita "the birthers", walijaribu kila mbinu kumharibia kipindi cha kampeni kwa kumhusisha na Kenya. Lakini sasa keshafanya yake, amemaliza kipindi chake cha pili cha urais, na ameshusha mabilioni ya hela Kenya, sasa hata wamsakame, wamtusi....hamna nini wala nini tena....
 
Ama kwa hakika hotuba ya Obama ilijaa Ukweli,Uwazi,Ushauri na yenye lengo la kutupa mwanga sisi kama wa-Afrika.Ilisheheni kila suala linazozikumba nchi zetu zinazoendelea.

Shime viongozi wetu,sisemi tu wa ngazi za juu,HAPANA,sasa ni wakati wa kila aliyepewa mamlaka na wananchi kuwajibika ipasavyo kulingana na nafasi yake ya uongozi.

Ni matumaini yangu juwa INAWEZEKANA.

Hatuna budi kuweka Siasa pembeni katika Ufanyaji Maamuzi na katika Utendaji na Uongozi Mzima wa Nchi zetu.

Natamani Tanzania ingekuwa inaongozwa na Obama nijioonee na mimi jinsi MABADILIKO MAKUBWA ambavyo yangefurika.

Suala na tatizo kubwa la Tanzania ni uongozi mbovu usiojali na kufuata Misingi ya utawala bora.

Adui wa nne(4) anaye inyemelea nchi yetu ni "Siasa" katika kila Maamuzi hadi yale yenye maslahi juu ya Mustakabali na Hatma ya Taifa letu.

Kwa zaidi ya Miaka 50 tokea uhuru binafsi na kwa maoni yangu hatukupaswa tuwe na wingi wa ukosefu wa Ajira,Matatizo ya Maji sio tu 'Maji' bali 'Maji Safi na Salama',Kiwango kikubwa cha Maskini hasa wale wa chini ya Nusu dollar sio tena Dollar Moja,Mdororo wa kiuchumi,Ukuaji mdogo na usioridhisha wa pato la Taifa,Mfumoko usioeleweka wa bei za mazao na bidhaa masokoni,na mengineyo chungu nzima.

Hayo ni matatizo tuliyopaswa kuwa tumeyapunguza mpaka kima cha chini kabisa kama sio kuyamaliza ndani ya Miaka zaidi ya miongo mitano tokea tuwe huru kupanga sera thabiti zetu wenyewe pasipo mkoloni kutuingilia.

Matatizo tuliyonayo hatustahili kuwa nayo kwa ulingano rahisi wa "MATATIZO vs RASILIMALI"

MWISHO:
Shime viongozi wetu kuanzia Rais mpaka Balozi wa nyumba kumi tujitahidi kuhakikisha kuwa nchi yetu inaondokana na Matatizo haya.

Binafsi inaniuma sana.

Waheshimiwa walalahoi wenzangu,NAOMBA KUTOA HOJA.

Dekka,Samwel P,
Chuo Kikuu cha Dodoma,
Dodoma,
Tanzania.
 
Mkuu mabadiliko yanaanzia kwako
Je umejiandikisha kupiga kura?
Wahimize wenzako tuchague viongozi walio bora kenya wameweza kwanini sisi tushidwe?
 
President Barack Obama delivers remarks at the Safaricom Indoor Arena in Nairobi, Kenya, July 26, 2015. (Official White House Photo by Pete Souza)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…