It's supposed to be
An elected 'felon'
Not
An elected 'felon'
Cause kesi ya ruto itaanguka soon
Ya huyo mfupi ndo itabaki
waah buda, Kesi ya Ruto ikianguka ntakuwa na stress serious. huyo jamaa ni adui wa Kenya, he is very corrupt and arrogant, I hope and pray that he is found guilty and serves his time in prison. Plus naskia kesi yake ni water tight, and he deserves to die in prison if found guilty, I hate that man.
Welcome home Obama, its about time.
najiandaa kisaikolojia kusoma comment za kikabila kupitia blog zenu wakati mkiendela kusafisha jiji la nairobi kumpokea obama.nawaomba wakenya,this time atakapo kuja huyu mgeni,muweke pembeni yale majigambo yenyu ya kikabila,muwe kitu kimoja.sitegemei kusoma au kusikia wajaluo wakiwadharau wakikuyu and vice versa.najua rafiki zangu wajaluo nao hawako nyuma kujikweza kisa tu obama ana damu ya kiluo.
Kula like nyingine ndugu yangu interesting question! hawajajibu hii bado!
Obama alikuwa anakuja Tz, hayo matatizo yalikuwa yetu na si yao, pilipili ilikuwa shamba sijui ilikuwa yawawasha nini!
Mzeiya, kweli unachukia huyu mbuyu..your venom is palpable....lol.
Anyway, the guy is corrupt and very arrogant since the days of 'Youth for KANU'...chuma chake kimotoni.
not just claiming to own it,but proud when we speak it so fluently and easy like spelling ABC.:lol::lol:
Wewe mkikuyu sasa unaanza kuchanganyikiwa. Huna lolote la maana.Hawa wadanganyika wa bongolala hawajui wakenya wanaweza bonga 5 languages acha ii kisw ya ufala wanaringa nayo ...
kiswa cha kenya ni lugha ya biashara. kinachofundishwa shuleni ni tofauti na kinachozungumzwa mitaani. hakuna cha "uhali gani, shikamoo n.k" lugha ni "sasa, mambo/mamboz..." hivo kisha stori inaisha na unaenda zako upesi.
mnakitumia kibiashara au siyo kibiashara hiyo ni juu "yenyu",wtz haituhusu.ukweli unabaki ukweli,kiswahili "yenyu" ni mbaya mno.
kiswahili chenu hakina ladha ya kimatamshi na "hakiswii" masikioni pa msikilizaji.sina tatizo na kiswahili kinacho zungumzwa pwani ya kenya.nina tatizo na kile kinacho zungumzwa nairobi na miji mingine ya kenya bara.
embu kaa kitako kidogo ustereheshe nafsi yako kwa ngoma hizi kali za "bongoflava" halafu baada ya kuzisikiliza "ukompee" kiswahili "yenyu" na yetu.
ukweli mchungu mkuu.:lol:You are becoming petty mkuu.
..wakenya hatuna upuzi wa kushabikia mtu asiye na manufaa kwetu.
Is that your attitude towards visitors visiting your place bro?
That's very unkenyan!
This is great news for Kenya. Definately he wont come empty handed, he will come accompanied with the American investors, help strengthen the relations betwn the two countries, boost our weakening economy...
Mgeni huyu tumkaribishe kwa dhati bwana.
The benefits will perhaps be munificent. U never know.
kadoda11 Nikikumbuka jinsi mlivyofagia barabara za Dar na kuwaondoa omba omba wote barabarani, aisei huyu jamaa ni shughuli. Anyway wacha aje lakini cha msingi ni shughuli inayomleta, tuna kikao kikubwa cha kimataifa kitakachowakutanisha mabingwa wa biashara duniani. Hivyo kama Wakenya hapo ndipo tunalenga, mengine ni mbwembwe tu, huko Tz alikuja na ku-dance halafu akaenda zake.