Obama na mkewe wanavutia....hata kwenye majonzi...........

safari_ni_safari, naona hiyo picha yenye red capet itoe, mzee anachapa usingizi live, kisha hadharani:frog:
 
mwone mamam maria nyerere anavyopata huzuni ha[po nyuma ya huyo mzee.:eyeroll1:
 
Lowasa anawaza nini akimwangalia jamaa yake anavyouchapa usingizi?

Khaaa! Jamani huy bwana anahitaji msaada. Wasaidizi wake kwanini wanamuacha adhalilike hivi? I attended one meeting where a high level visitor from US arrive in a morning and wanted to hold a meeting the same day. Jamaa baada ya kufanya ziara fupi, ukafika muda wa kukutana na wenyeji wake, yule mzungu akaanza kuonyesha kila dalili ya jetlag, jamaa walimuondoa na kwa kuwa walisha anticipate and they had plan B, jamaa mwingine akate over the meeting smoothly....Pole Mkulu
 

Hivi inawezekana hii ni matatizo ya JETLAG kwa mheshimiwa? Sasa hii ni JET ya mheshimiwa ni ya aina gani? Inatokana na hizi JET za wageni au zile zetu za asili za ungo ambazo zinatembea usiku pekee?
 
safari_ni_safari, naona hiyo picha yenye red capet itoe, mzee anachapa usingizi live, kisha hadharani:frog:

Itolewe kwanini? Wacha wtu waone viongozi waloowachagua wanafanya nini.
 
Sasa hii ni JET ya mheshimiwa ni ya aina gani? Inatokana na hizi JET za wageni au zile zetu za asili za ungo ambazo zinatembea usiku pekee?

Duh! Kweli wewe M-Tata..
 
you guys ur too much i like ur comments n jokes
 
Pole kaka kikwete, kuanguka wewe, kuzimia wewe, kusinzia wewe, una mdondo au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…