Obama ni Msomali?

zomba

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2007
Posts
17,240
Reaction score
3,930
Obma ni Msomali?

Obama ni msomali?


Sen. Barack Obama, D-Ill., right, is dressed as a Somali Elder by Sheikh Mahmed Hassan, left, during his visit to Wajir, a rural area in northeastern Kenya, near the borders with Somalia and Ethiopia in this file photo from Aug. 27, 2006. The garb was presented to Obama by elders in Wajir. Obama's estranged late father was Kenyan and Obama visited the country in 2006, attracting thousands of well-wishers.
(AP Photo)
 

huku ndio kuchafuana kisiasa, yanatukumbusha 2005 ccm mambo yalivyokuwa
 


Picha hii imezua mgogoro; mchezo wa kuchafuana politically mbaya I see! Hebu soma chini hapa pia:-


And now, Hillary reacts to SNL Sketches! click to watch
 
Kumbe hata USA kuna kampeni hizi?

Ili mtu uwe msomali sio lazima kuvaa vile. May all Obama needs to do is expain the purpose of the outfits.
 
Ndugu Idimi,

Hayo ni makabila mawili tofauti. Hii mipaka ya nchi zetu Afrika, tuliwekewa na Wakoloni bila ya ridhaa yetu. Wao waliipiga piga mistari Afrika huku wakiwagawa watu wa kabila moja katika nchi tofauti.

Kuna Wasomali Somalia/Somaliland na wapo Wasomali wa Kenya. Kuna Wajaluo wa Tanzania ba wapo Wajaluo wa Kenya. Kuna Wamasai wa Kenya na wapo Wamasai wa Tanzania n.k.

Huyu kijana machachari Obama ni Mjaluo wa Kenya ambako ndiko alikotokea Baba yake mzazi.

Obama alipoitembelea Kenya, alikuwa ni mgeni rasmi wa nchi ya Kenya. Ni Senator kutoka USA. Mbali na kwenda kwao Ujaluoni, alitembezwa katika kipande cha nchi ya Kenya chenye Wasomali. Kwa heshima yake akavikwa mavazi hayo ya Kisomali wakati Wasomali wa Kenya walipompokea mgeni wao.

Ni sawa na vile Mwalimu Nyerere alipovikwa mgolole alipowatembelea wazee wa Kihehe kule Iringa wakati fulani katika enzi zake nchini Tanzania au alipovikwa mgolole wa Ki-Ghana alipokwenda kule Ghana.
 

Mgosi, sina uhakika kama umenielewa vizuri!
Lengo langu ilikuwa ni kueleweshwa kama "Waluo" na "Wajaluo" ni makabila tofauti ama la, kama alivyokuwa ameandika Kamundu hao juu!
Otherwise maelezo yako ya ziada yametulia!
 
Waluo na wajaluo ni watu walewale ni kama kusema sambaa na wasambaa au massai na wamasai.
 
Kwani Msomali sii Mtu??

Msomali ni mtu kama wengine tu, na Tanzania tunao wa kutosha sana.
Lengo la hao watu wanaomhusisha Obama na Usomali ni kutaka kuunganisha Usomali dhidi ya Uislamu na Ugaidi. Yaani kero kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…