Obama recognizes his fellow Kenyans

Tuletee zako ukila albino ndio tuamini km wewe ni mtanzania
Hahaha ningekushangaa saaana kama usingeleta hizi pictures mbili, sababu ndio hizo tu zipo kuonesha Obama ni Mkenya, tuletee picture akivua omena ndio tutajua kweli hili jaluo
 
Kweli watu wanatoka mbali, by that time no body expected he could be president of the most powerful nation on earth...

Anyway I'm curious to know hiyo picha ya tatu walimpandisha kwenye jukwaa kufanya nini na kama nani?
 
Tuletee zako ukila albino ndio tuamini km wewe ni mtanzania
Acheni kumshobokea mmarekani wa watu, ancestry yake inaonesha yupo na kina Bush, Dracula, Diana, Monroe, Lincoln.... 😂

Au wazungu wanawahujumu wakenya?

 
Bro,, Wakenya sio wanyonge au watembeza bakuli au omba omba jinsi ilivyo desturi ya wabongoduni.
Wakenya ni watu wakakamavu, watia bidii, waerevu, wajanja, washujaa, wapambanaji.... n.k
fikiria kwanza kabla ya kutoa kauli zako potoshi

Hata hawa Mazombi ni Wakakamavu?
 
Kipindi Obama anaingia ikulu nakumbuka wakenya wengi wa Middle East countries waliacha kazi na kurudi Kenya, kisa ukiwauliza oooh Kenya itakuwa kama Amerika.. Majirani hamuachagi visa.
 
Wakenya na mbwembwe zenyu, yaani mngemjua real father of Barry hakika mikia ingekua katikati ya miguu yenyu..
 
alishiriki lakini sio muasisi sijui unataka kusema nini So alishiriki bila cause yeyote the Libyan civil war broke out in 2011, the United States took part in a military intervention in the conflict, aiding anti-Gaddafi rebels with air strikes against the Libyan Army . With the success of the revolution and the overthrow of Gaddafi, US President Barack Obama said that the United States was "committed to the Libyan people" and promised partnership in the development of a new Libyan state. Africa haitakuja kujivunia wauwaji kama hawa
 
Tulimjua kabla dunia mzima imjue. Obama is a blessing to Kenya & the world kwasababu alilipisha mauaji ya Náirobi 1998. Over 200 Kenyans died in the hands of these Islamic States na hatuwezi Sahau. You must be a FOOL trying to side with Islamic states that have caused hell to Africans allover the world. [emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]
 
Hahaha ningekushangaa saaana kama usingeleta hizi pictures mbili, sababu ndio hizo tu zipo kuonesha Obama ni Mkenya, tuletee picture akivua omena ndio tutajua kweli hili jaluo
Wewe uko na akili kweli [emoji23][emoji23][emoji23]. Nani alikudanganya Kila mahali Nyanza Kuna bahari. K'ogalo is like 30kms from the lake, huko watu hufanya ukulima.
 
Duh! Unajua awali nilicomment bila kufungua video, ila nimekujafungua saivi, this is horrible, Kenya sijui nani aliiloga

Jamaa wanauza glue wanaangalia tu hela, afya za hao watoto sio muhimu kabisa kwao,
A typical Characteristic of a Man eat Man society.
 
Sijasema tujivunie Obama wala walichokitenda , kumuondoa Gaddafi haikukua the best option .ninachojaribu kusema ni kuwa Obama hakuongoza oparesheni ya Arab Spring oparesheni hio iliongozwa na Nicolas sarkozy wa France America ilishiriki Tu kupitia NATO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…