Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Safii.,mbona kulikuwa na umbea kuwa wamemwagana?.
Very bad
kwann picha kama hiyo
.
Ngoja niwasubiry adobers watakavyo ifanyia editing
.
.
Huaga naitamani couple yao hao duuuu hadi rahaa wajameniiii
Na wewe ifanye yako iwe yakutamaniwa
Na wewe ifanye yako iwe yakutamaniwa
Natumaini hizo habari ulizisoma kwenye magazeti ya Shigongo!Safii.,mbona kulikuwa na umbea kuwa wamemwagana?.