Obama-State of the Union Address

Shadow

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2008
Posts
2,897
Reaction score
675
President Obama anahutubia all three arms of government. This is his first State of Union Address. Naona hotuba yake imezingatia zaidi katika masuala ya uchumi wa marekani.

Kufuatilia zaidi, bofya hapa:Obama speech: 'We will recover' - CNN.com

Shadow
 

I know that this may sound like nitpicking lakini nimeona ni vyema kukurekebisha, hii siyo State of the Union address, kwani bado hajatawala na kuweza kutoa assesment ya State of the Union, atatoa hotuba yake ya kwanza ya State of the Union mwakani 2010. Hotuba yake hii ni hotuba yake ya kwanza kwa new Congress. But it sure feels like a State of the Union!
 
...lilikuwa bonge la speech yaani! Ngoja tumsikilize ndugu yake Truth na majibu ya GOP...

Jindal anataka kujifananisha na Obama kachemsha kinoma, yaani yeye alikuwa na predetermined reaction ambayo imeonekana out of date maan kila kitu Obama kamaliza. Mwanzo walijifanya kuweka msimamo ila wakajikuta wenyewe wanasimama na kupiga makofi. Kama uongozi ni communication huyu jamaa ni best.
 

Laiti Jindal angeliweza ku-widraw ile 'documentary' yake nadhani angefanya hivyo haraka, lakini it was a fatal mistake ambayo itamkaa kwenye kichwa chake kwa miaka mingi ijayo. Probably a force behind it was 'indian manipulations', anyway mamilioni ya siyo kuwa na kazi ndiyo yameshaliwa na CNN
 
Ngojeni nikawachokeze Nyani na Ukweli... nitapost thread ya Bobby jindal na mchemsho wake wa leo.... kwikwikwiiii
 
Naona Jaluo Jeuri ameshafunga goliiiiii! Akina Nyani walianza kufurahia kushuka kwa umaarufu wa Obama, kumbe ndo alikuwa anatayarisha kiboko chake.... his poll numbers are up again!

 
Naona Jaluo Jeuri ameshafunga goliiiiii! Akina Nyani walianza kufurahia kushuka kwa umaarufu wa Obama, kumbe ndo alikuwa anatayarisha kiboko chake.... his poll numbers are up again!

Naona mko obssessed sana na polls na focus groups....mnaangalia polls halafu ndo mnafanya maamuzi. Nilidhani campaign season imekwisha kumbe watu bado wako kwenye campaign.

Great leadership that's driven by convictions
 
Republicans wana safari ndefu sana maana yule Gavana Jindal aliyetoa hotuba kwa niaba yao alijikanyakanyaga vibaya sana hata Sarah Pallin πŸ™‚ angefanya kazi nzuri. Kama huyo Jindal ndiyo sura waliyoamua kuitumia ili kuwavutia immigrants kwenye chama chao basi wamepiga chini inabidi watafute replacement haraka sana kabla hali haijawa mbaya zaidi.
 
Naona mko obssessed sana na polls na focus groups....mnaangalia polls halafu ndo mnafanya maamuzi. Nilidhani campaign season imekwisha kumbe watu bado wako kwenye campaign.

Great leadership that's driven by convictions


Ha ha ha msije mkazitumia polls hizo hizo mara zitakapokuwa mbaya dhidi ya Obama. Just thinking aloud πŸ™‚
 
Ha ha ha msije mkazitumia polls hizo hizo mara zitakapokuwa mbaya dhidi ya Obama. Just thinking aloud πŸ™‚

Mmh, huyu Nyani my friend ni mnafiki, na ulivyo'think aloud' ndivyo alivyofanya! Alipandika ile poll ya jana ya Gallup katika thread nyingine na rafiki ya Ukweli! Sasa yamewashuka, kwikwikwiiii
 

Bubu, cjui Invisble ameshaunganisha thread niliyoanzisha ya Bobby Jindal, kaitafute uone jinsi walivyopatwa na emergency GOP! πŸ˜€ Maana jamaa ni uncharismatic na weird haswa! Hana soko kabisaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…