Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Mgombea wa ubunge kwa tikiti ya CCM, Yusuph Nasir Abdallah (kushoto) akiwa na mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga Mussa Shermkweli wakati wa kampani hivi karibuni jimbo la Korogwe.
Yusuph amabaye pia anafahamika kama "Obama wa Korogwe" alimbwaga chini mwalimu wake wa zamani na naibu waziri wa habari,michezo na utamaduni Mh. Joel Bendera...
Staili hii ya upande mmoja wa kanga begani imekaaje maana huwa namuona festi ladi akitoka hivyo pia?
kuna jamaa alibeba chupi ya mkewe akidhania kabeba leso....! mbele za watu akajifuta jasho...! loooooo!!!!!!!!!!
mbaya zaidi ilikuwa haijafuliwa....!
sasa jamaa alidhani kabeba bendera ya sisiemu...! :becky::becky::becky:
Msemo wako kiboko umeshibaMhhh mambo ya Tanga sigara pande mbili! Sigara Kali huvutwa kote kote
Mhhh mambo ya Tanga sigara pande mbili! Sigara Kali huvutwa kote kote
Mhhh mambo ya Tanga sigara pande mbili! Sigara Kali huvutwa kote kote