Obasanjo aifanyia CCM kampeni

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,962
Reaction score
721
Rais wa zamani wa Nigeria Bw. Obasanjo ameonekana mkoani akikampenia CCM.



Ahhh ahaha kumbe ni naniii wa SISIEMU.
 

Attachments

  • Nani huyu.jpg
    71.7 KB · Views: 62
Aaaah huyu kweli ni Olesegun huyu au ni look-alike wake?
 
Haaa! Indume Yene una akili kweli! Umenena sawasawa kabisa. Jamaa anamfanana sana Obasanjo.
 
Idume Yene uliwaza nini? Ha ha haa jamaa anaonekana kama vile yuko Zaria!
 
Wasije jamaa wengine wakaanza kusema huyu jamaa si raia......nitacheka sana.

Ni kweli wazanzibari si raia wa zanzibar kwa asili, naye ni mmoja wao, si unaona hata sura yake imekaa kimanyemamanyema?
 
Rais wa zamani wa Nigeria Bw. Obasanjo ameonekana mkoani akikampenia CCM.



Ahhh ahaha kumbe ni naniii wa SISIEMU.

huyu bwana sio raia, lazima atakuwa mshirazi amehamia kisiwandui tu, hatutaki
 
Picha imemkubali sana yaani anaonekana kama kiongozi wa Al Shaabab wa kule Somalia.
 
Kumsikiliza huyu lazima uwe umekamua redbull au kahawa usije sinzia
 
hii ni nigeria bana... wana rangi za kijani pia
ingekua bongo ungeona akina mama wengi mbele na vilemba na khanga na watoto wa shule wameshonewa magwanda
 
Kudadadeki...
Kweli wawiliwawili duniani..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…