pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
hawa wasee wa kupasuana vichwa kwa ajiri ya matumbo ya wanasiasa.Jifurahisheni tu sisi ya kwetu tumeshamaliza ila kwenu 2022 haiko mbali, hao Wakalenjili sijui mtawabebea nguo gani kwa maana ni lazima watu wengi sana watauliwa na kuumizwa, Mungu awasaidie hata hivyo, ...
Tatizo lipo wapi jombaa? Hamtaki hata hongera kutoka kwa majirani, kwa ushindi wenu huo wa kukata kwa shoka? [emoji1]Jifurahisheni tu sisi ya kwetu tumeshamaliza ila kwenu 2022 haiko mbali, hao Wakalenjili sijui mtawabebea nguo gani kwa maana ni lazima watu wengi sana watauliwa na kuumizwa, Mungu awasaidie hata hivyo, ...
How I wish it was all just a very bad joke. [emoji38][emoji38][emoji38] 'Chama kitakatifu' kilivyoshinda uchaguzi kwa 'kishindo'.Watch the video clip of Wadiyan Games 100M Race; Courtesy of the movie "The Dictator", 2012.
overstayed his welcome
Hopeless ass!How I wish it was all just a very bad joke. [emoji38][emoji38][emoji38] 'Chama kitakatifu' kilivyoshinda uchaguzi kwa 'kishindo'.Watch the video clip of Wadiyan Games 100M Race; Courtesy of the movie "The Dictator", 2012.
Hatutawaacha kamwe, pongezi tutaendelea kuwapa hadi mwaka ujao. 😀Mtuache, tena mtuache kabisa. Sisi tumesha maliza jambo letu. Sasa ni kazi tu.
Haha! Kwa ushindi huu CCM wanao uwezo wa kushinda hata kombe la dunia 🤣🤣...Tatizo lipo wapi jombaa? Hamtaki hata hongera kutoka kwa majirani, kwa ushindi wenu huo wa kukata kwa shoka? [emoji1]
Kwa iyo jamaa unahisi tundu lisu amemshinda magufuli, kabisa kabisa yani with your sane mind without influence ya miraa, u think the guy amemshinda magufuli.Tatizo lipo wapi jombaa? Hamtaki hata hongera kutoka kwa majirani, kwa ushindi wenu huo wa kukata kwa shoka? [emoji1]
Wait and learn sumthn new, mabeberu kama hukidhi vigezo vyao, hayatokuacha salama, na yatatumia hata watu wako wa ndani, evidences zipo kibao from burkina Faso compaore and sankara, etc.Objective analysis? Here's my 2cents
Nothing comes to close to challenging CCM hold on Tanzania and while that bring stability for now, eventually it will be ugly.
They will run the country how THEY see fit, however the people will eventually get tired of them and that's when shit will get really ugly because CCM won't go away peacefully
My view is let's wait and see what CCM will bring since they now have absolute and total power/control.
Even Putin at first did a lot of good when he first came to power and dealt with the oligarchs however he overstayed his welcome. Let's wait and see.......for now
Naona mmekosa ustaarabu siku hizi. Yaani badala ya kusema shukran mkipewa hongera kwa ushindi wa CCM mnaanza matusi?Kwa iyo jamaa unahisi tundu lisu amemshinda magufuli, kabisa kabisa yani with your sane mind without influence ya miraa, u think the guy amemshinda magufuli.
Such a sorry a$$