Obren Chirwa mpira umemshinda?

Obren Chirwa mpira umemshinda?

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
e9a34ad077e8e7eab3271a1bd40cf125.jpg
 
Huyu ndiye mwanaume,,tena wachezaji wetu wa Tanzania inatakiwa wajifunze hapo kwa chirwa,,siyo mpira ukiisha na wao wanaisha na maisha yanaishia hapo
Nadhani ametuma picha hiyo kimkakati. Anawahimiza viongozi wa Yanga kumtumia hela iliyobaki ya usajili ili aongezee pembejeo!
 
Back
Top Bottom