Huyu ndiye mwanaume,,tena wachezaji wetu wa Tanzania inatakiwa wajifunze hapo kwa chirwa,,siyo mpira ukiisha na wao wanaisha na maisha yanaishia hapo
Nadhani ametuma picha hiyo kimkakati. Anawahimiza viongozi wa Yanga kumtumia hela iliyobaki ya usajili ili aongezee pembejeo!Huyu ndiye mwanaume,,tena wachezaji wetu wa Tanzania inatakiwa wajifunze hapo kwa chirwa,,siyo mpira ukiisha na wao wanaisha na maisha yanaishia hapo