Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza.. Nimeona kuna umuhimu kwa wadau tunaopenda masuala ya UNYUNYU kukutana hapa na kujuzana ni aina gani ya Perfume/Body Spray(s) kali ambayo(zo) tumewahi kutumia. Nianze tu, mimi ni mpenzi zaidi wa Perfume kuliko Body Spray. Mpaka sasa nimeshatumia Perfume...