Occupational safety and health

Occupational safety and health

UGOKO MKAVU

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2013
Posts
202
Reaction score
78
Natanguliza shukrani kwenu wakuu,

Ninatafuta chuo/taasisi inayotoa elimu hiyo iwe ni ngazi ya post graduate au masters.

Kwa yeyote anayefaham anijuze tafadhari...!
 
Hebu cheki MUHAS muhimbili nathan mwaka huu wanaanza kutoa tofauti na hapo hakuna TZ hapa pia labda utapata short coz tu za muda mfupi ambazo sio level hiyo unayoitaka cheki hapo MUHAS nilisikia wanaanza kutoa
 
Asante mkuu, nitacheki hata kama ni short course
 
Hata mm nilikuwa naitafuta sana hii kitu mkuu.....Hebu ngoja na mm ni cheki hapo Muhas...
 
Back
Top Bottom