Yule shujaa wa kuchukua mali zake kama mtanzania, OCD (w) serengeti al;iyekamatwa na mhifadhi wa serengeti, amevuliwa madaraka yake huku daraja la utumishi likibaki vilevile. Kamanda Boazi alipoulizwa wadau wa OCD katika sakata hilo, alisema watawajibishwa na mamlaka husika zilizowaweka pale.
OCD huyo amenyang'anywa madaraka kwa kile wanachodai ni kupisha uchungunzi, kwa sasa atatumika katika ofisi za polisi mkoa wa musoma
source STAR TV jana saa mbili usiku habari
Kiuendeshaji, Jeshi la Polisi halina tofauti na Serikali ya CCM.