Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
OCD wa wilaya ya Busega kwa muda sasa ameikalia kesi ya ubakaji ya mwanafunzi wa Mkula Sekondari iliyoko BUSEGA MKOANI SIMIYU inadaiwa kwamba Mwanafunzi huyo ameachishwa shule mpaka ss lakini cha kushangaza kesi ya mwanafunzi haijafika mahakamani kwa ajili ya kusikilizwa hii inatokana na kwamba OCD amekula Rushwa