NI siku special oct 1
kwa wanasiasaa wameeiita ----UKUTA DAY
Kwa wanamazingira na wananchi tumeiita--SIKU YA KUPANDA MITI NCHI NZIMA
Wana michezo waoo wanaiiita DERBY YA SIMBA VS YANGA
Kwa wana JF --------Ni mwezi mashuhuuri waliozaliwa magwiji wa jf eg PDIDY ....Etc
Kila la kheri wotee