October 26, 2010, miaka 9 tangu niifahamu JF

October 26, 2010, miaka 9 tangu niifahamu JF

kokudo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
2,571
Reaction score
1,760
Jumamosi ya juzi nimetimiza miaka 9 tangu niifahamu JF. Ni safari ndefu nashukuru sana site hii imenijenga sana, nimekutana na mawazo mengi mazuri.

Thanks #JF
 
Jmosi ya juzi nimetimiza miaka 9 tangu niifahamu Jf ni safari ndefu Nashukuru sana site hii imenijenga Sana nimekutana na mawazo mengi mazuri

Thanks #JF
Hongera sana mkuu, uwepo wako ni chanzo cha JF kufika.

JF NI SISI, SISI NI JF
 
Back
Top Bottom