The Burning Spear JF-Expert Member Joined Dec 23, 2011 Posts 9,205 Reaction score 22,219 Sep 24, 2025 #1 GT Hii tarahe tunaingoja kwa hamu. Tuone ni akina hao watakaoenda kupiga kura gizani. Hili Zoezi ni hiari hakuna kushikiana mabango. Je ni akina nani hao watakaohiari?. NRNE Wasaliti wapo
GT Hii tarahe tunaingoja kwa hamu. Tuone ni akina hao watakaoenda kupiga kura gizani. Hili Zoezi ni hiari hakuna kushikiana mabango. Je ni akina nani hao watakaohiari?. NRNE Wasaliti wapo
Ntu Mpyaaa JF-Expert Member Joined Sep 13, 2024 Posts 986 Reaction score 1,823 Sep 24, 2025 #2 Mi nilichokiona watanganyika bado hatujawa tayali kujikomboa, na sisi siku zote ndo tunawakatisha tamaa wanaotupambania,itafika wakati hata huyu lisu atachoka kupambania watu wasiojielewa
Mi nilichokiona watanganyika bado hatujawa tayali kujikomboa, na sisi siku zote ndo tunawakatisha tamaa wanaotupambania,itafika wakati hata huyu lisu atachoka kupambania watu wasiojielewa
hsnaturalfertility JF-Expert Member Joined May 14, 2022 Posts 1,029 Reaction score 2,243 Sep 24, 2025 #3 Hasira zilitakiwa zionekane kipindi chote Lisu yuko jela. Hicho ndio kingekuwa kipimo sahihi cha hasira.
Hasira zilitakiwa zionekane kipindi chote Lisu yuko jela. Hicho ndio kingekuwa kipimo sahihi cha hasira.