October 29, Tulianguka, Tumeinuka, Sasa Tunasonga Mbele

Kwasehemu kubwa nakubaliana na hoja zako.
Well & Good
Ila si kweli kuwa CCM wamegoma kuwasikiliza wananchi.
Waligoma, wamegoma na wataendelea kugoma

Na matunda ya mgomo wao ni kifo na mauti yao wenyewe kimwili na mali zao

Tsunami ya kuharibikiwa inakuja na tusipokuwa makini wote (wananchi na serikali chini ya CCM), nakuambia tunaelekea kwenye civil war
Mapungufu yapo, ila ni ukweli ulio wazi kuwa jitihada kadhaa za kuwepo maridhiano zimefanyika, mkwamo tulionao ni kila upande kushikilia msimamo wake.
Upande upi umeshikilia msimamo upi?

Wananchi (wakiongozwa na CHADEMA) tunahitaji jambo moja tu rahisi: UCHAGUZI HURU, WAZI, WA HAKI NA KUAMINIKA kwa kuwa taasisi huru za kusimamia zetu zote

Tumedai haya for more than three decades now

What CCM na serikali yake is doing in return?

Ni kujibu kwa kuteka, kupoteza na kutesa; kubambikizia kesi viongozi wetu na wanaodai haya na kubwa zaidi ku - assassinate wengine!

Kwa akili na ufahamu wako, ni upande upi unashida hapa?

JIBU NI RAHISI TU: Ni hawa waliopo madarakani. Hawataki fair political competition kwa sababu hawana uwezo wa kihoja na ushawishi kuwabeba mbele ya wananchi ili waendelee kuaminika kupewa mamlaka ya kuongoza dola!

Matokeo yake ni kuwa chama cha siasa kimegeuka chenyewe dola na kinafanya haya tuliyoyashuhudia: Killings, abduction, election rigging & manipulation and all serous evils

SASA WANANCHI TUMEDHAMIRIA KUWAONDOA IWE KWA HERI AU KWA SHARI na MUNGU ATATUSAIDIA NA YUPO PAMOJA NASI, TUNAAMINI!
Panapo fuka moshi ni wazi kuwa pana moto.
Moto ulishawaka. Na unaendelea kuwaka mpaka uwamalize na kuwatafuna CCM wote na wapotee kabisa!
Ni jukumu la mamlaka kujitathimini na kujisahihisha kama wanayo nia ya dhati ya kuepuka kujirudia kwa yaliyotokea
Hawana cha kusahihisha. IT'S TOO LATE!

They had all the time in the world to do the needful, but they wasted it.

There's NO MORE TIME for them

Now, IT'S THE PAYBACK TIME

IT'S THE JUDGEMENT TIME
 
Upuuzi🚮🚮🚮🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…