Oda za keki

Gcakes

Member
Joined
Jan 12, 2024
Posts
6
Reaction score
7
Kwa oda za cake zilizochambuka kisawasawa na radha murua Oda nasi tunapatikana tabata....karibuni sana
 
Cake kwa chai, soda, juice hata uji pia zinafaaa awee unakosaje sasa kwa mfano popote zinakufukia
 
Cake kwa chai, soda, juice hata uji pia zinafaaa awee unakosaje sasa kwa mfano popote zinakufukia
Daah hutu tu cake tunakuwaga tutamu balaa.

Niko Madibira mtume bodaboda alete, akifika utanicheck DM nikachukue. Nahitaji vya afu tatu
 
Kwa oda za cake za vikontena na plain cake utazipata kwetu kwa bei rahisi sana ladha zake nzuri sana hata kwa uji zinakwenda tunapatikana - tabata segerea 0714 655520
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…