Odama huvumi lakini umo

Odama huvumi lakini umo

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Muigizaji mwenye mvuto wa kipekee na mwenye haiba ya upole bongo movie, Jennifer kyaka aka Odama mambo yake ni super ile mbaya, anaweza kuwa ndiye msanii pekee apa bongo movie anayeishi maisha expensive kuliko wasanii wenzie.

Licha ya kuendesha ndinga ya bei kali , pia anamiliki mjengo wa maana na ni balaa tupu sema yeye sio mpenda sifa kama wasanii wenzie. Inasemekana yupo na mh. First class apa bongo ambaye ndiye aliyemfungulia kampuni ya filamu ya bei mbaya pamoja na kumnunulia vifaa vya kisasa kutoka majuu.

Achilia mbali kuwa na mh huyo ambaye ana mamlaka na pesa chafu kuliko Clement, hyo haijamfanya odama abweteke na kusubiria pesa za mh huyo , kwani demu anapiga kazi ile mbaya, hana mchezo na kazi yake hata kidogo, anajituma kama mtumwa licha ya kuwa na huyo mh ambaye ana pesa za kumtunza na kumlisha maisha yake yote.

Msanii huyo mrembo na mwenye mvuto na ambaye alibebwa na kubebeka inasemekana sasa ivi ana ujauzito mkubwa wa mh huyo.

Odama amejifungua mtoto Wa kiume!
 
Wanaanzaaga hivi hiviii baadaee oooo ilikua hivii ikaenda vileee akaze butiii
 
Huko ndio kiwanda cha filamu kilipofikia......leo ukiwaambia vijana tunatafuta wasanii chipukizi wanamiminika kama utitiri (haswa mabinti) na mafanikio wanayoyaota ni kupata mteremko wa kimaisha kuitia mashuga daddy........

Bongo hakuna sanaa ya filamu bali ni uhuniuhuni tuuu.

Nadhani bidii ya bodi ya filamu na wizara yao zinaonekana.
 
mi nataka simfahamu

huyu hapa

odama.jpg
 
Back
Top Bottom