Odama huvumi lakini umo

Hahahaaaaa...kweli amekosa point za kujidefend... kwa taarifa yake hamna ambaye yupo desperate kuolewa hapa na kuna ambao wameolewa...

Hajuiiiii hahhhhhahhhhahhha angejua sie badoo wabichiiiiiiiii kama Sato alievuliwaa asubuhii
 
Hahaha waiter mpe chupa ya jackdaniel bili lete kwangu kumbe sisi wa kibongo tuna thamani hivi, natoa posa kwa cheque lete gharama

Hahhhhhajhhhhahhha Jack Daniel iliyomuua Kanumbaaa una vitukoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…