Odama huvumi lakini umo

Binamu huyo dada hunipa presha nishaacha kuingiaa kwenye blog yakee aisee mara ajifunguee kwenye hospital za kina Beyonce mayoweeeeeeee mi hata kwa Dr. Kilonzo nishashindwaaa

aaaah aah nasikia kumbe alikuwa anaandika jina tu hakuna cha hyo hospital wala nini
 
mkuu namaanisha ban yako ni ya muda gani bana, mbona unapanik hivi?

i like the first warumi, not this...

Kuna mtu pia alisema kama wewe, jumatano ijayo ntakua huru will b back with the old ID, usihof partner
 
Kuna mtu pia alisema kama wewe, jumatano ijayo ntakua huru will b back with the old ID, usihof partner

poa mkuu, pole kwa majanga, next time usijibizane ovyo na wanuka midomo... just use
policy, afu utaona feedback baada ya muda tu..
 
Hahhhhahhha Heaven unanivunjaa mbavuu banaa huyu nampataaa

Binamu Leo nilikuwa naangalia album ya harus ya uwoya apa , dah haruc c mchezo kitu ngamia ndani dah ila mwisho wake sasa duh
 
Naonag picha zake instagram kutwa yupo uko Beverly

hmmm.. mkuu beverly hills wanaishi viumbe wasio wa kawaida pale, beverly hills ni kwa wenye hazina nzito aisee, labda kweli ana uwezo..

mkuu hapa wanaishi ma billionaire aisee..






labda nae yumo... ngoja nim-google


 
Binamu huyo dada hunipa presha nishaacha kuingiaa kwenye blog yakee aisee mara ajifunguee kwenye hospital za kina Beyonce mayoweeeeeeee mi hata kwa Dr. Kilonzo nishashindwaaa

Muke ya muzungu sa hivi sintah anachambajwe sasa mle ndani........
 
alijifungua pale we ma pic ote yale uwee umepiga tu picha sidhani

Hujanielewa binamu, maana yangu ni kwamba mange alidanganya kuwa amejifungulia kwenye hospital ambayo mastar kama akina Kim kardashian hujifungulia na jina akalitaj sema nimesahau kumbe sio hyo hospital aliyoisema yeye. Yaani Ali cheat kuandika jina la hospital ambayo siyo aliyojifungulia , hospital aliyojifungulia nasikia ni gvt na ndio anapopigia picha toka mimba had uzao. Yaan mfano wewe ujipige picha ukiwa hospital ya kairuki then udanganye upo aghakan, umenisomaa?
 
Asante ripota 2nashukuru endelea ku2pasha habar
 

hospitali inaitwa Cedars Sinai...... basi wana kazi ka kafanya hivo itakua ni ulimbukeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…