Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Nimeshashusha ubuyu wa unga , sijapat hela ya kununua rangi ila soon ntaleta ubuyu wa rangi tena nyekundu ulioiva.. upate mautamu zaidi
Nimeshashusha ubuyu wa unga , sijapat hela ya kununua rangi ila soon ntaleta ubuyu wa rangi tena nyekundu ulioiva.. upate mautamu zaidi
Hujambo bibie
Niliuliza swali hapa kwamba km kweli alizoea maisha ya juu kabla ya ndoa na mzungu why shobo zinazidi km mtu aloyajulia ukubwani???? Kwa maisha ya sasa anayoishi ni ya kawaida sana tu labda hayo ya enzi hizo kabla sijaja mjini ambayo me siyajui

bunge la bajeti linaanza lini kwani
baba wa mtoto nani ili nae tumpongeze?
Muheshimiwa first class ..
Mh. usinambie uko serious unataka ulifanyie kazi,, hapana sikushauri, kumbuka ushauri wa mama spika
Ngoja na mie nikazane nipate second class
utashangaa uzi utavyogeuzwa...
mi nabanana hapo hapo kwenye first class
Hapo ndipo nnapokupendea...ukipata wawili nirushie mmoja plz.
hahaa wahy not........... kuna mmoja noko kwenye mchakato