Odama: Naanzaje kumficha bwana angu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mwanadada anayeuza nyago kwenye filamu za Kibongo, Jennifer Kyaka ' Odama ' amekanusha tuhuma ya kumficha mwandani wake na kufunguka kuwa , marafiki na familia yake wanamjua hivyo haoni sababu ya kumfanya kila mtu amjue.

Odama alikuwa akizungumzia madai ya kumficha mwanaume aliyezaa naye huku baadhi wakisema, hataki mtu yeyote amjue kwani ni mume wa mtu.

"Hivi naanzaanzaje kumficha mwandani wangu? Halafu nimfiche ili iweje ? Ndugu na marafiki zangu wanamjua , wasiomjua wawe na subira , kila jambo lina wakati wake , " alisema Odama ambaye juzikati alinaswa akiwa ' very close' ukumbini na mwanaume aliyefahamika kwa jina la Daudi ambaye ni mume wa mtu.
 

Attachments

  • 1411120258489.jpg
    78.2 KB · Views: 540
Ndo ufanye tumjue bhana , weka picha tumuone shemeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…