Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Na kwa jambo gani kama kabla ya uchaguzi waliona kila kitu kiko sawaMaridhiano ya nani na nani kwanza?
Naam, jinsi walivyoona sawa wakaendelea ndio hivyo hata sasa waendelee mpaka mwisho tutapata matokeo mwishoni.Na kwa jambo gani kama kabla ya uchaguzi waliona kila kitu kiko sawa
Neno "Maridhiano" linatumika vibaya.maridhiano kwani chadema imefanya nn hadi iridhiane na serikali
Huyu alikuwa ni mmoja wa wagombea nafasi ya Uenyekiti wa chama.Huyu naona analazimisha kila mara cdm iingie kwenye maridhiano. Aseme kwanza kilichokwamisha maridhiano ya awali ni kipi. Haya masalia ya Mbowe mbona kama yanataka kuleta za kuletwa?
Iridhiane na wamekosana na nani?! Na ktk kukosananhuko nni alikuwa kisababishi?!Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) Odero Charles Odero anadai kwamba hadi sasa hakuna kikao chochote rasmi kilichofanyika ndani ya chama hicho ambacho kimeazimia kwamba chama hicho hakitashiriki maridhiano yanayotarajiwa kufanyika hapa nchini siku za usoni,
Soma Pia:
Akizungumza na Jambo TV leo, Alhamisi Machi 26.2026, Odero amesema hakuna namna yoyote itakayofanikisha kutatua migogoro au sintofahamu kwenye eneo lolote lile Duniani isipokuwa kwa njia ya mazungumzo (maridhiano), hivyo CHADEMA kama taasisi ya kisiasa na kidemokrasia huwa kuna nyakati inafanya mazungumzo (maridhiano) ya ndani ili kutengeneza muafaka na umoja ndani ya chama hicho.
- Odero: Pamoja na Lissu kuwa gerezani hayawezi kumzuia John Heche kukutana, kupeana mkono na Rais Samia
- Odero: Si kweli kwamba CHADEMA haitaki Mariadhiano